Katibu kata ccm kata mgwashi afariki dunia...pigo kwa mh.shelukindo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu kata ccm kata mgwashi afariki dunia...pigo kwa mh.shelukindo...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Madevu, May 26, 2010.

 1. M

  Madevu Member

  #1
  May 26, 2010
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napenda kutoa taarifa za kusikitisha za kuondokewa na mwanachama,kada na kiongozi wa CCM kata ya mgwashi jimbo la bumbuli,Mama Krista Sheshe, aliyekuwa katibu wa CCM kata ya mghwashi, wilaya lushoto jimbo la bumbuli.
  Marehemu Krista amefia hospitali ya wilaya Lushoto baada ya kuugua kwa muda wa mwezi mmoja...
  Alikuwa ni kiongozi mwenye msimamo wa dhati na aliyekuwa mstari wa mbele kutetea chama pale panapotokea uvunjwaji wa kanuni za chama, amekitumikia chama kwa muda mrefu na amejipatia umaarufu mkubwa kutokana na msimamo wake.

  Kufariki kwa kada huyu wa chama ni pigo kwa chama lakini pia i pigo kubwa kwa Mh Shelukindo kwani alikuwa ni mtu aliyemtegemea sana kwakuwa hakuteteleka katika msimamo, mama Krista alikataa kurubuniwa na baadhi ya viongozi wa chama ili kumuunga mkono mtu aliyejitokeza kutaka kugombea ubunge mwaka huu, na hapo ndipo tofauti yeye na mewenyekti wake zilpoanza,mpaka anafariki uongozi wa wa chama w kata haukuwa pamoja kutokana na tofauti za kiitikadi na marehemu kuendelea kumuunga mkono mbunge aliyekuwepo madarakani....

  Marehemu atazikwa kesho mchana huko mgwashi..
  Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi..Amen
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  ooohh, poleni waghoshi
   
Loading...