Thank you for coming Gift | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thank you for coming Gift

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lily Flower, May 27, 2010.

 1. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Habari za jioni wana JF

  Ninaomba ushauri wenu wapendwa, nina shughuli hivi karibuni na ninatafuta a THANK YOU FOR COMING GIFT amabyo its not so costy but unique.

  Natanguliza shikurani zangu, cku njema everyone.
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hebu fafanua kidogo mama!...
  wengine tulikimbia umande
   
 3. Mnene 1

  Mnene 1 Senior Member

  #3
  May 27, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tafuta opener nzuri au hata kalamu flan na uziweke chata flan hv kama kumbukumbu kwa kila atakayepata
   
 4. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ni zawadi ndogo/kubwa kutoka kwa maharusi/ubarikio/etc wanawapa wageni kuwashukuru kwa ujio wako kwenye sherehe yao/yake.
   
 5. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Asante Mnene 1 kwa ushauri, ila katika shuguli za watu nyingi huwa nakutana na hivyo vitu kama handkerchief, pen, key holder, opener na nikaona imekuwa common sana ndio maana nikaomba ushauri wa something unique.
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  sasa we mwanamama,
  ni kwamba wewe unaolewa?
   
 7. JS

  JS JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Customized candles zile candle nene fupi kama za kanisani perfumed yenye majina ya wanandoa etc.
   
 8. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hapana Geoff its my beloved brother anaoa.
   
 9. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Asante Sisy thats a good one nitapendekeza kwenye kamati.
   
 10. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Sisi tuliotokea kwenye lile jukwaa la bondeni kule tumeshtuka hapa kidogo "thank you for coming gift" Nilidahi unataka kumshukuru mzee for making you happy lol just effects of jukwaa forgive me sis

  Btw ni wazo zuri hata ukiwapa vijikadi vidogo vyenye hayo maneno si mbaya au wengine wanaweka viti vyenye kumbukumbu zaidi kama key holders zenye ujumbe huo yaani ali mradi kunogesha mambo tu
   
 11. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ray B kweli ulifikiri mbali.

  anyways thanks kwa ushauri
   
 12. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Why dont you use the money kwa kuwanunulia watoto wa Buguruni primary Penseli na Madaftari! Hii itakuwa zawadi ya kukumbkwa mioyoni mwao na kwetu ia kuliko huku kujifaharisha mnakokufanya siku hizi aaargh!:angry::angry::angry::angry:
   
Loading...