Kuna baadhi ya wanawake wanasema mwanamume wa kweli ni yule ambaye ana mambo yafuatayo: 1. ana mke, 2. ana mtoto au watoto, 3. ana nyumba moja au zaidi na 4. ana gari au magari. Je hii imekaa sawa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.