Bei ya petroli yazidi kupaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei ya petroli yazidi kupaaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tonge, May 27, 2010.

 1. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kutokana na kuporomoka kwa hela yetu ya madafu dhidi ya dola, bei za petroli na dizeli zimepanda hadi kufikia tsh 2000 kwa bukoba na tsh 1749 kwa dar kwa lita.hivi hali hii mpaka lini wajameni? Upandaji wa bei za mafuta zimepandisha bei za bidhaa muhimu kama vyakula n.k.sasa tunakula mlo mmoja, hii si hatari kweli?

  "haya ni bora maisha kwa kila mtanzania wala sio maisha bora kwa kila mtanzania"
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Tumwombe Mungu afungue milango ya uimarikaji wa uchumi, pia tusisahau kujituma ktk kufanya kazi kwa bidii na kuwa na uhakika wa unayempa kura yako maana la sivyo bei itazidi kupaa bila kushuka
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Haya tunayataka wenyewe, tukipewa muda wa kubadili haya mambo twasema ni chama cha babu zetu, sasa kwanini tusiendelee kuumia?
   
 4. MANI

  MANI Platinum Member

  #4
  May 27, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,413
  Likes Received: 1,873
  Trophy Points: 280
  Dawa ni kubadili serekali. Tunahitaji serekali ambayo itakuwa inaona ni tatizo pindi sarafu yake inapopungua thamani sio hii ambayo wanaona ni kitu cha kawaida na kutafuta vizingizio visivyokuwepo.
   
Loading...