Serikali ya kikwete ni najisi;bora nipigie kura maruhani 2010

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Nasikitika kusema hili,,nimejaribu kuangalia tangu mwanzio wa huyu bwana sijui ni sifa za kudanganywa chaguo la mungu zimemteketeza,..sielewi aliwafamyaje watanzania kama ni bagamoyo basi 205 ilikuwa njema ,....huyu bwana tangu aingie ni maddudu matupu nasikitika kusema hata mkapa alikuwa na afadhali ,..kama tungeruhisiwa basi Mwinyi arejee madarakani jamanji...hii serikali ni najisi uchafu kuanzia anaowateua,,wakurugenzi wa mashirika wameua kila shirika,,,mabalozi tu labda atujui siri nzito uko ndani ,,,nasikitika kusema bora Ben Alikuwa akiitafuna nchi na maendeleo yanaonekana...sidhani kama tutakubali tena kuongozwa na viongozi najisi kama hawa...ntasikitika sana kuona mwana JF akiipigia CCM kura kumchagua kikwete...
 
Back
Top Bottom