Dear TANZANIANS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dear TANZANIANS

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Masanilo, May 27, 2010.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Dear Tanzanians, it is worth to mentioning that at present TZS 1,500 is equivalent to 1USD.This comes following our hillside behaviour on the following :


  1. Using Chinese toilet paper rather than Rexa or Tanpack...
  2. Buying ice cream made in Kenya or South Africa rather than Azam
  3. Using Omo rather than Foma
  4. Eating Heinz baked beans rather than Dabaga or Red gold
  5. For using Shoprite as your favourite shopping destination since "expired" South African goods are better than Tanzanian products
  6. For using Anchor butter/cheese on your bread rather than ASAS or Serengeti
  7. For using Colgate and Close up as they make your teeth brighter rather than Whitedent
  8. For drinking Heineken and Red Bull rather than a good old Kili....its a matter of image in it!
  9. For drinking St.Anne, Namaqua and Overmeer than Dodoma wine
  10. For using Farmer's choice sausages than Beef Vienna from Arusha
  11. For using Kangaroo matches than KIBO match
  12. For Using Durex, Trojan, Fantasy, trustex condoms rather Salama .....and the list goes on....
  Come on guys wake up....Its time for a change......BE TANZANIAN BUY TANZANIAN MADE PRODUCTS.... And a request to the expatriate community...especially South Africans...please change your mind set and help Tanzania grow by supporting local products...
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Masa,
  Who are you working for kati ya hao hapo juu? Kidding lol
  on a serious note though...una point sana kwenye hili.....
  Ila mwisho wa siku mlaji anajali zaidi ladha aitakayo kwa kutumia pesa yake na siyo uzalendo au kuchangia mazao ya ndani.

  Ushindani sokoni unaamua mtu atumie hela yake vipi... binafsi sina tatizo na WHITE DENT toothpaste, foma, au Azam Ice cream kwa mfano ...lakini nina issue na REXA,DABAGA backed beans... kwa shauri ya quality issues ambazo siwezi kuzi raise hapa maana nitaharibu soko zaidi.

  Nina hakika wahusika wanajua au wanapaswa kujua nini kinatakiwa...kuvutia mlaji anunue Tanzanian
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nimekusoma WOS, jamani hata nyama ya kwenye mabucha Ng'ombe amechijwa leo leo tunakimbilia ya shoprite marehemu Ng'ombe anazaidi ya mwaka yuko kwenye freezer! Issue ya quality ni habari pevu kuna kipindi beer za TBL ilikutwa na con.do....m
   
 4. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  HEHEHE tena usinchekeshe kwenye hili la nyama... ushaona nyama inavyotupwa nyuma ya pick-up chafu ikitoka machinjioni kupelekwa buchani?
  Unajua nyama ni kitu kinahitaji uangalifu mkubwa sana na umakini kwenye handling? Unajua ikilala inauzwa tena? na je inavyorukiwa na inzi siku nzima unajua?
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Masa and WoS... ni kweli ni we need to be patriotic [if that is what it means] lakini suala la quality bado ni very important... Toilet paper zetu kwa-kweli!!! mtanisamehe... siwezi hata kuelezea
   
 6. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Huwezi kuwalazimisha watu kutumia bidhaa zisizo na kiwango kisa kukwamua uchumi wa nchi. Ubabaishaji wetu mpaka kwenye bisashara! Mtu anajali kiwango! Bidhaa za kibongo hazina viwango, kitu kama foma siku mbili tu nguo imepauka kwanini mtu asikimbilie OMO. Wanachojali ni kupata faida kunbwa tu, finishing poorest. Si bora ukanunue nyama shoprite kuliko kulishwa kibudu, ukikuta huyo muuza nyama na hilo koti jeupe utalitambua tu lilikuwa jeupe kwa sababu ya colar yake
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkuu tafadhali hebu tuwasaidie labda watabadilika! elezea
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkuu wangu, inategemea nyama unanunulia bucha za wapi, Kwa Mtogole ama Mbagala? Kuna zile bucha za pale Namanga wauzaji wana makoti yaliyo meupe kwa rangi na nyama iko kwenye makabati ya vioo! Naelewa suala la viwango ni issue lakini kuna sababu gani ya kununua nyanya ama vitunguu vya shoprite wakati kuna vya kutoka Ruaha na nyanya pia? Ama kwanini ununue nanasi zao wakati zipo za Chalinze?
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wala haina kuelezea mkuu... chukua rexa sasa hivi jaribu kuikata tu... its either too soft kiasi kwamba inamong'onyoka au its too hard kiasi kwamba inakatika kama karatasi ya kawaida. secondly, just dip it in water, it changes colour and becomes like karatasi iliyotafunwa

  Halafu chukua zile softies common kwenye market za wenzetu uniambie
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Haya salama zenye scent ya fruits na Trojan!
   
 11. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Kwani Tanzania haina concrete Unti-dumping duties kulinda viwanda vyake vya ndani, au kwanini na sisi tusiwape wakulima wetu subsidies tukauza bidhaa hizi kwa bei ya chini labda 'buying attitude' za watu zitabadilika provided kuwa hali ya maisha na vipato vya wananchi wengi navyo vidogo. Ni mtazamo tu.
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Umeongea kitu cha maana sana! Wajasiliamali wetu inabidi wawezeshwe waweze kukidhi ushindani wa soko la ndani. Niliwahi tembelea Austria, kwenye super market mayai ya Austrilia (Australian Eier na maziwa yao (Milch) yalikuwa ni aghali kuliko mayai na maziwa ya Uswiss, na France jamaa wako proud na bidhaa zao!

  Hata ukienda red street wanawake wa Austria (Mädchen) walikuwa juu kuliko mataifa mengine. Point yangu hapa jamaa wanajali sana bidhaa zao
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mimi nasapoti sana locals hasa kwenye vyakula, we have fresh products, angalia vitu akam samaki, matunda, vegetables nk. tunachohitaji ni kuwezesha producers wetu kuwa na modern technique za packaging

  ila hilo la rexa mazee, noma n'tu wangu...
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ni kwasababu watendaji walio kwenye policy making na law enforcement hawako na mtazamo, wapowapo tu!!! uwezo mdogo na nia ya kujifunza ndogo

  we have serious issues
  we have misunderstood a free market concept - tukidhani kila mtu auze tu
  we are not cultured to enforce any law - kitu kidogo
  we dont want to change - always maintain status quo
  we a re just ignorant - not knowing our rights

  local farmers have rights to demand protection from foreign mega scale threats bila kujali dhana ya protectionism
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mh... what an example
   
 16. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Austria na Australia ni nchi mbili tofauti mkuu! Example ya red light nimeipenda!
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nimeedit mkubwa! LOL
   
 18. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  This is a very intriguing debate. Who are you blaming? Sure quality and sanitation are issues in Tanzania. But who do you expect to bring about the change? Not politicians or bureaucrats. Change starts with a few people who are called Change Agents. These lead by example or by educating others. Since you people appear to be quality conscious probably because you are living in America, Europe, etc. what are you doing to become change agents? Change will not happen because of your pointing fingers at others. By the way I have never had any problems eating Manansi from Manerumango, Machungwa from Muheza or Vitungu from Ruaha. I have never bought any foodstuffs from Shoprite and the like.
   
 19. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #19
  May 28, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Watajuaje bana kam ninazo nispofanya shopping kwenye masupermarket; mifuko ile ze nn ze nn eeh ujiko kule kwetu uswazi ebo nyie vipi bana!

  Isitoshe hizo sauage za arusha nilijaribu siku moja mama yangu nilizitupa zoote! Sisemei kwa bidhaa zote ila nadhani tujitahidi sana kwa ubora maan kuna vitu watu wananunua kutokana na ubora! Mfano sabuni za kufulia; nyingi ya sabuni za ndani kweli ni uhuni mtupu; unaweza jaza pakti nzima ndogo kwnye besen usione povu lakutosha na ukitia mkono hapo unakatwa katwa vibaya! asa nani anataka kujiumiza wakati sokoni kuna bidhaa bora?
   
 20. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #20
  May 28, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Ni kweli baadhi ya bdhaa za ndani hazina ubora wa kuridhisha. Lakini ni lazima tukubali pia watz tuna kasumba ya kudharau vitu vyetu hata pale vinapokuwa na ubora kuliko hata hivyo vya nje. Suala lingine ni tafsiri ya watu kuhusu ubora.

  Tunapimaje ubora wa bidhaa? Kuna vitu vingi tu tunaagiza kutoka nje na havina ubora kwa maana yake hasa....lakini kwa ulimbukeni wetu tunavipapatikia.

  Na inasikitisha sana suala hili linapoingia hata kwa serikali na taasisi zake. Mwisho wa siku ni sisi wenyewe tena tunalalamika shilingi inashuka thamani! Tuchukue hatua...hata kama ni kusaidia kuboresha bidhaa za hapa nyumbani.
   
Loading...