315,000 hamuwezi kulipa:sasa malimbizo yetu ya mishahara mtalipa lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

315,000 hamuwezi kulipa:sasa malimbizo yetu ya mishahara mtalipa lini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tonge, May 28, 2010.

 1. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  WANAJF NATOA DUKUDUKU LANGU, TUKIACHA KIMA CHA CHINI CHA 315,000 KUTOLIPWA, WAFANYAKAZI WA SERIKALI TUNADAI MALIMBIKIZO YETU YA MISHAHARA YA TANGU JULY MWAKA JANA HADI MACHI MWAKA HUU. TUMEKOPWA JASHO LETU MBONA WAO WAKISAFIRI AU MAKALIO YA VIKAO HULIPANA KABLA AU SIKU HIO HIO? "JAMANI SERIKALI MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MAPENI"

  TUMECHOKA KAMA NI MBWAI MBWAI BWANA, CCM LAZIMA TUING'OE MWAKA HUU, SHIME WAFANYAKAZI SOLIDARITY FOREVER.:tinfoil3:
   
 2. Mnene 1

  Mnene 1 Senior Member

  #2
  May 28, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sisi m ni wauaji kabisa wale, hawana maana
   
Loading...