Airtel wasimamisha Rewards program kiujanja?

FairPlayer

JF-Expert Member
Feb 27, 2006
4,145
716
Wakuu,

Zain walikua na rewards program. Nijuavyo ukinunua kampuni unamaliza na madeni yake na unachukua au unalipwa pia waliokua wanakudai.
Sasa swali langu ni kua wale waliokua na rewards points watazipataje? Maana game stores hawazikubali tena na airtel ipo kimya!!

Haya makampuni ya kiujanja yanayouzwa kila siku kaazi kweli kweli!
 
hawa watu ni wazushi sana-kabla hata airtell kuja-mimi nilishashinda tupo point-wakanipgia simu wao zain-nakumbuka ilikuwa 2010 mwez wa 2,wakaniomba details zangu nikawapa-wakadai natakiwa kwenda ofisini kwao kuchukua medal yangu-ila wakanambia zilikuwa zimeisha kwa muda ule watanipgia zikishafka ofisni-cha ajabu mwez wa tano wakanipigia tena wakaniulza maswal yaleyale ya details zangu,wakasema watanijulisha,cha ajabu zaid mwez wa 8 tena wakani.call kuuliza same questions-nikawajibu na nikawambia mbona kila muda wananipgia-ina maana hawana records kuwa walishanipgia-mpaka sasa hawajanipigia tena na namini huo mchakato airtel hawataweza kuufanya-so ninachoona wote ni wezi tu
 
fika ofisi za airtel na points zako utaoneshwa na kupewa zawadi kulingana na point zako tuache upotoshaji wenye pont zao wanapata zawadi kama kawaida
 
fika ofisi za airtel na points zako utaoneshwa na kupewa zawadi kulingana na point zako tuache upotoshaji wenye pont zao wanapata zawadi kama kawaida
mimi sikupotoshi-hawa watu-those days za zain wamenipigia mara 3-ni almost mwaka sasa hawajanipa mmedal-nishaenda ofis ya mkoa zain mwaka jana-pia wakanambia nisubir kwanza-nimeshindwa kuja tattzo ni nini-kama bado wanatoa hizo taarifa nitazfanyia kaz-ila kwa mimi walinicall but hawajanipa kitu
 
fika ofisi za airtel na points zako utaoneshwa na kupewa zawadi kulingana na point zako tuache upotoshaji wenye pont zao wanapata zawadi kama kawaida

KAKA SIO UPOTOSHAJI mimi mwenyewe nilipigiwa simu nikaambiwa kadi yangu ya silver inatengenezwa lakini wapi, isitoshe hapo makao makuu ya airtel niliwahi kenda mala kibao tu.ukifika wanakuambia kweli umeshinda hiyo kadi but tutakutumia.hii ishu yapata mwaka ssasa bado sijapata cha kadi wala dika nami nimewapotezea.
 
mimi sikupotoshi-hawa watu-those days za zain wamenipigia mara 3-ni almost mwaka sasa hawajanipa mmedal-nishaenda ofis ya mkoa zain mwaka jana-pia wakanambia nisubir kwanza-nimeshindwa kuja tattzo ni nini-kama bado wanatoa hizo taarifa nitazfanyia kaz-ila kwa mimi walinicall but hawajanipa kitu

kaka upo sawa.wewe ulifika ofisi zao za mikoani lakini mimi nilifika makao makuu kabisa kule dar morocco lakini nikapewa sound tu.
 
mimi sikupotoshi-hawa watu-those days za zain wamenipigia mara 3-ni almost mwaka sasa hawajanipa mmedal-nishaenda ofis ya mkoa zain mwaka jana-pia wakanambia nisubir kwanza-nimeshindwa kuja tattzo ni nini-kama bado wanatoa hizo taarifa nitazfanyia kaz-ila kwa mimi walinicall but hawajanipa kitu

Mimi pia Zain walishwahi kunipigia simu na kuahidi kunipa zawadi ya kuwa loyal customer wao, waliniomba conatcts zangu nikawapa (ilikuwa mwezi Feb au March 2010). Nilisubiri nikaamua kwenda Regionala Office yao nao wakanizebeza kuwa itatumwa kupitia posta ndo ikawa imetoka hadi walipotuuza kwa Wahindi.

Bad enough, juzi nimegundua kuwa Airtel is the most costly network in Tanzania (hata ukipiaga Airtel to Airtel network). Nafikiria kujitoa kwenye mtandao wao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom