Kiapo kwa kutumia vitabu vya dini ni sawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiapo kwa kutumia vitabu vya dini ni sawa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kabindi, Jan 7, 2011.

 1. k

  kabindi JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 334
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Serikali si haina dini? kwa nini kiongozi kama rais anapewa kiapo akiwa ameshika aidha Biblia au Qu-ran? kwani akikosea wakati wa utawala wake ataambiwa amekiuka misingi ya dini yake aliyoapishwa? kwa nini tusiishie KATIBA tu?! mimi nashindwa kuelewa!
   
 2. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Serikali haina dini ila wananchi wake wana dini ndo mana wanaapishwa kwa kutumia vitabu vyadini zao-akikosea ataambiwa amekiuka misingi ya katiba mana ndo governing body kwa viongoz wote regardless dini zao
   
 3. Ustaadh

  Ustaadh JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2011
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ni utata mwingine huo, kama serikali haina dini basi viongozi wangetakiwa kuapa kwa kutumia katiba.
   
 4. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  straight and clear. Big up
   
 5. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni kweli ni straight and clear. Ila si straight and logical. Uvivu wa kufikiri. Kiapo halali ni katiba na si vitabu vya dini.
   
 6. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Serikali haiongozwi kwa kutumia dini yoyote. Inaongozwa kwa kutumia katiba. Kwa hiyo si sahihi kwa kiongozi kuapa kwa kutumia misahafu ya dini zao. Na kwa wale viongozi wakristo wao ndo wanachemsha kabisa kuapa kwa Biblia!!! (Mt. 5:33 - 37)

  33 ΒΆ Again, you have knowledge that it was said in old times, Do not take false oaths, but give effect to your oaths to the Lord: 34 But I say to you, Take no oaths at all: not by the heaven, because it is the seat of God; 35 Or by the earth, because it is the resting-place for his foot; or by Jerusalem, because it is the town of the great King. 36 You may not take an oath by your head, because you are not able to make one hair white or black. 37 But let your words be simply, Yes or No: and whatever is more than these is of the Evil One.
   
Loading...