Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mto Pangani ambao unaelekea kupoteza uhalisia wake kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. MAJI ya Bonde la Mto Pangani (PBWO) yanategemewa na mikoa ya kaskazini mwa Tanzania na baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikisikia wasomaji taarifa za habari za TBC1 wakisema ''habari hii imetumwa kwa njia ya internet''. Mimi naona kama kuna tatizo- intaneti ni njia ya kawaida ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WAKATI Tanzania inajipanga upya kufufua Shirika lake la Ndege (ATCL), Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la Kenya (KQ), Titus Naikuni, amesema kama Tanzania inataka shirika hilo liendelee, Serikali...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema msimamo wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
THE SUTRA OF FORTY-TWO SECTIONS SPOKEN BY THE BUDDHA Jointly translated in the Later Han Dynasty by the monks Kasyapa Matanga and Gobharana from Central India. When the World Honored had become...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ndugu zangu, leo tena imefika, siku ambayo tunakutana kupitia safu hii, kwa hakika tumshukuru Mungu ambaye ni mwema aliyetuwezesha mimi na wewe kuwa wazima na afya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani, naombeni mnisaidie kufikisha ujumbe huu kwa Rais wangu mpendwa kuwa kuanzia leo nimeamua kubadili Jina na kuitwa Whatever Muhando; najua baadhi yenu mtashangaa ila kuna ukweli mtupu kuwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Dear Friends Greetings to you all. I would like to share with you on the great quotes, that will motivate to taking a further step in our life towards our success. 1. "Life is what we make it...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Why do people have unprotected sex despite being aware of HIV/Aids pandemic? Why do people smoke when they know that it increases their chance of lung cancer? Why do people over eat when they...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A commuter bus negotiates through a pond on potholed Bwawani Street at Kijitonyama, Dar es Salaam, yesterday.Ironically, the street is one of those the Surface & Marine Transport Regulatory...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (Saut) kinachomilikiwa na Kanisa Katoliki ni miongoni mwa asasi za kiraia 200 zinazokusudiwa kufutwa na serikali. Hatua hiyo imebainika kupitia tangazo la...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwako kamanda mwema.tunajua kila mtu anakula urefu wa kamba yake lakini naona sasa hawa ndugu zetu trffic wanaanza kutuchafulia hali ya hewa tanzania..traffic wameanza kuwa more kibiashara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau mara nyingi nimeona watu wakiadhimisha arobaini ya mtu aliyefariki, je hii ni tamaduni au ni mafundisho ya dini? je jamii nyingine duniania wana utaratibu huu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Vigogo wawakingia kifua mawakala wa ukwepaji kodi Ni wafanyabiashara watatu wa Kihindi Wajificha katika kuchangia kampeni za CCM 2010 WAKATI bajeti ya Serikali inasuasua kutokana na uhaba...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila, ameahidi kumfikisha mahakamani Mwanasheria Mkuu wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Picture of the Day Tanzania Breweries Limited [TBL] Managing Director, Mr. Robin Goetzsche [left] and Sales and Circulation Manager, Mr. Nik Brooks [centre in a furrow] join other staff to clean...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwananchi Jumapili WAPO walevi na wapo walevi wanaolewa njwii. Walevi wa madaraka ni walevi njwii. Mara nyingi tumesikia msemo huo na kukubali kwa sauti moja tukisema watu wasilewe madaraka au...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Usafiri huu kwa njia ya reli ya TAZARA ndio usafiri niliotumia mara nyingi sana kutoka Mbeya hadi Dar es Salaam. Lakini usafiri kwa njia ya reli hii hautabiliki sana hasa kuhusu ratiba ya treni ya...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Juzi nikiwa nipo home ndo nimetoka kwenye ujenzi wa Taifa hili lisilojengeka, alinijia Mke wa Jirani yangu na akaanza kunieleza hadithi ndefu ambayo kwa hakika ilikuwa ni mwendelezo wa hadithi ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Pikipiki zaua 181 kwa miezi minne JUMLA ya watu 181 wamefariki dunia kwa ajali za pikipiki katika ajali 1,414 zilizotokea kote nchini katika kipindi cha miezi minne kuanzia Januari, huku...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…