Aafande mwema;traffic wako kibiashara zaidi kuliko majukumu yao!!!!!rushwa itaisha?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aafande mwema;traffic wako kibiashara zaidi kuliko majukumu yao!!!!!rushwa itaisha??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jun 3, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Kwako kamanda mwema.tunajua kila mtu anakula urefu wa kamba yake lakini naona sasa hawa ndugu zetu trffic wanaanza kutuchafulia hali ya hewa tanzania..traffic wameanza kuwa more kibiashara barabarani zaidi ya kutumikia majukumu yao waliopangiwa...

  Kumezuka wimbi la matraffic kuanza kununua magari na kuanza kupaki pembezoni mwa barabara..akishakukamata anaanza kukutajia pesa anayoitaji kabla ya kuanza kufungua kabrasha lake ati la kulipia faini,,hakika wa kawe wananijua nilishawaambia andiekeni nitalipia mbele vituon na si hapo kw ahapo......hawa mabwana wamekuwa wakikamata magari ovyo kama mmewaachungulia weale wa ubungo mwenge wanaacha kukaa kuongoza jioni magarri kupunguza folen wanakaa pembezoni kukamata m,agari na wengine bila aibu anaingia kwenye gari ya mtua anatoka gari inaondoka huku ni kujizalilisha kama mnashindwa kuwalipa mshahara unaofaa naomba ipo siku watanzania watageuka kama wana HEDARU SAME mtakapojua tumechoka........

  Kwanza iwapo unakamatwa na trafic anataka kukupeleka kituoni si ruhusa kupanda gari yako usimruhusu hawa awana undugu zaidi ya Bosi wao Mwema.....jitahdi uendeshapo ujue sheria za barabarani wakati mwingine wanatangaza makosa wala hayapounapojua unawafungua kumbe hivi......

  AFANDE MWEMA EMBU BADILISHA KIDOGO TRAFFIC WA DAR WAMEZOA KUPITA KIASI MAGARI YETU TUTAKAPOFIKIA WANAHEDARU UTAKUWA TOO LATE
   
 2. bona

  bona JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  nashukuru mkuu kwa thread ii, juzi nilikua natoka arusha kwenda moshi, kuna down moja strech kama ya km 6 njia nyeupee na kulikua hamna gari ala kibao, mkuu nikaishusha gari kwa 130 na ni mpyA, MBELE trafic akanisimamisha na tochi, ananiambia naenda kasi sana, nikamwambia tatizo nini hamana sign ya kuni limit speed so nawai zangu, AKADAI SHERIA YA NCHI NI HURUHUSIWI KUENDESHA ZAIDI YA 80 KM/HR je wana JF hii ni haki kweli? baada ya mabishano kwa kua nilikua nawai nikampa buku 5 nikatambaa! kwa iyo sasa ivi hawaitaji kibao ni ukivuka 80 tu unavunja sheria! mwe!
   
Loading...