Mwalimu alikuwa mfano mzuri wa kujimiliki nafsi kwa binadamu. Alipotukanwa,hakutukana,alipoteseka,hakuzungumza lugha ya vitisho dhidi ya waliomtesa,alipofanyiwa udhalimu na adui zake,yeye...
NIMEKUWA NIKISIKLIZA BUNGE LA TANZANIA,KWELI NI KICHEFUCHEFU KILA MBUNGE ANAYECHANGIA LAZIMA ATANGAZE NIA Utasikia nami natangaza nia.SASA SIE TUSIO WABUNGE NIA TUTANGAZA WAPI?
MSINGI NI KUCHANGIA...
Wapendwa
kwa wale mlio ewura na kwingineko najua mnajua kuna baadhi ya vituo vya mafuta waaminifu awachanganyi na mafuta ya taa
kwa msaada wa watanzania tunaomba mtuwekee wazi vipi visivyo...
Ndugu wapendwa kwa mlioshiriki kumuona jana mkurugenzi wa ewura kwa masikitiko napenda kusema ewura wanachangia kiasi kikubwa kushiriki kucheketua mafuta ya magari
kwa masikitiko makubwa...
Fuel adulteration: Action delayed is remedy denied
Saturday, 26 June 2010 12:46
By Karl Lyimo
One of the zillion things Tanzania's becoming infamous for is the long-cultivated habit of...
Awali nilizani zoezi la kusajili namba za simu ni kitu serious ambacho kingehitaji watu (wasajili) makini kumbe sivyo! Nimesajili namba 3, za tigo 2 na voda moja. Tigo ya kwanza ingawaje...
What is the juducial philosophy of our courts, especially the highest court? Does any one know? Or they don't even have a juducial philosophy....they are just all over the place...
Ndio kwanza nimerejea kutoka Nachingwea kumzika mama yangu aliyefariki Jumamosi iliyopita.
Niliwafahamisha wachache hapa kwa sms lakini nilishindwa kuwajuza wengi kupitia jukwaa kwa sababu ya...
Wapendwa, baada ya wanaJF kumchamba dada yenu, Mwa..nini vile kwa swali lake la kizushi, sasa nafikiri ni muda maarufu kwa wale woote ambao hawakumtukana wala kumjibu vibaya kwenda kujipatia...
Napenda kujua dhumuni la wenzangu ku post hapa au kuchangia habari fulani.
KUna watu tunakubaliana na wengine hawakubaliani kwa issue mbali mbali. Lakini swali langu ni je wenzangu pale...
Quotes From George W. Bush
"I promise you I will listen to what has been said here, even though I wasn't here." at the President's Economic Forum in Waco, Texas, Aug. 13, 2002
"We spent a lot...
Jana nilikuwa nasafiri kutokea Iringa nilikokuwa nimeenda kikazi, nilipofika Morogoro ikanibidi niingie sheli mojawapo hapo kujaza mawese (Sheli hii iko barabara ya Moro-Iringa kwenye junction na...
Wandugu,kila mara utakuta watu wakilalamika kuwa HALMASHAURI,MJI,MANISPAA AU JIJI yao hayana maendeleo wakati raslimali wanazo.Naomba niwaulize swali la msingi wao pamoja na wewe unayesoma hapa...
Envoys held over cocaine Friday, 25 June 2010 08:20
By Devotha John
THE CITIZEN
Corporal Wamba Msafiri displays the purported diplomatic bag that contained narcotics at the Julius...
"They" say everybody has at least one addiction. What's yours?
Addiction doesn't just include drugs and alcohol - there are various documented forms of addiction.
Whether your drug of choice...
Habari wana JF,
Ni kama mara mbili hivi kukutwa na tatizo la usafiri ninapotumia mabasi ya scandinavia especially location ya mbeya. Cha kwanza gharama ya usafiri kwao ni kubwa kulinganisha na...
Msinisumbue tena,
Hii ndo Orijini ya Vuvuzela na maana ya Kenakoo ni Tuko hapa, kwa hiyo kila wakichoka kupuliza wanayaweka hapo, na wanasema tuko hapa.
Nice weekend
Wamependeza???
WanaJF nimekuwa msikilizaji mzuri wa hii Radio Clouds FM but now naona inaanza kunitia kichefuchefu,Nashindwa kuelewa kama hii Radio imegeuga uwanja wa kisiasa mara wanawashutumu CCJ, mara TUCTA...
RAIS Jakaya Kikwete ametangaza Mikoa mitatu, Wilaya, Tarafa na Halmashauri za Wilaya mpya ili kuimarisha utawala bora.
Kwa sasa, Tanzania bara ina mikoa 26 hivyo kwa tangazo hilo la kusudio la...
Vote kilimanjaro for the New7Wonders of Nature,follow the link below
Kilimanjaro | New7Wonders
Uzalendo Mbele japokuwa pesa zinazopatikana kwenye utali azitufiki sisi watu wa chini.