Oya, oya, It's Kitimoto time, make the most of it

Oya, oya, It's Kitimoto time, make the most of it

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,367
Reaction score
100,408
Wapendwa, baada ya wanaJF kumchamba dada yenu, Mwa..nini vile kwa swali lake la kizushi, sasa nafikiri ni muda maarufu kwa wale woote ambao hawakumtukana wala kumjibu vibaya kwenda kujipatia kitimoto kwa majibu mazuri ya kumsaidia mpwa wetu.

Kinapoa sasa, twendeni basi.

Yatosha uasi wa siku kwa siku ya leo, tubuni mkabatizwe na kuokoka, ndio meseji ya leo
 
pale b bar sinza aka sebuleni , ipo kitimoto tamu sana unamaliza unashuka pale ambiance club unakula ngoma kidogo then unachukua mrembo wa kitaa (cheap price pale ambiance) unaenda hotel ya jirani unashusha swaafi, kitimoto raha hadi malaria sugu anakula hiyo kwa kificho.:dance::dance::dance:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom