Ni kweli ndoa ya Clouds Fm na CCM ishafungwa?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
WanaJF nimekuwa msikilizaji mzuri wa hii Radio Clouds FM but now naona inaanza kunitia kichefuchefu,Nashindwa kuelewa kama hii Radio imegeuga uwanja wa kisiasa mara wanawashutumu CCJ, mara TUCTA mara MR Mkoba wa walimu, mpaka sasa sijailewa hii clouds ina mlengo gani, WanaJF nisadie
 
Hawa wameajiriwa na serikali ya Sisiem ili Kuwapigia kampeni na kuisafisha.
 
WanaJF nimekuwa msikilizaji mzuri wa hii Radio Clouds FM but now naona inaanza kunitia kichefuchefu,Nashindwa kuelewa kama hii Radio imegeuga uwanja wa kisiasa mara wanawashutumu CCJ, mara TUCTA mara MR Mkoba wa walimu, mpaka sasa sijailewa hii clouds ina mlengo gani, WanaJF nisadie

ina lengo la kuelimisha, kuburudisha na kukosoa mkuu...
 
Nakubaliana na ZionTZ kuwa watangazaji wa Clouds ni mazumbukuku hawana msimamo wa maana. Mwanzoni nilidhani watajirekebisha hususan katika vipindi vyao lakini kadri siku zilivyokwenda nimeona ni maboara wakubwa. Mfano magazeti yameandikwa jambo fulani wao wanaongezea maneno yao ambayo yanapotosha ukweli na maana ya suala zima linaloongelewa. Hakika Clouds ni wachovu na wasikilizaji tumewachoka. WABADILIKE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Wanajifanya wao ndio wana msimamo wa serikali au Chama fulani cha siasa- hiyo si kazi yao.
 
I would advise you to stop listerning to this redio. It has already lost substance and direction.
 
I would advise you to stop listerning to this redio. It has already lost substance and direction.

Thanks Wasp nafikilia kuacha kuisikiliza kabisa mana ningekuwa na uwezo na nikapata ruhusa ningeenda na bunduki nikaanza na mmoja mmoja
 
Bosi wao kusaga anatafuta watangazaji cheap leba..na ndo matokeo yake.hakuna professionalism pale.ni utumbo mtupu
 
Hasa wale jamaa wa Jahazi nafikiri akili zao zina matatizo sana. Yaani yule msoma magazeti anausagia mgomo wa TUCTA wakati mafanikio yakipatikana na wao watakuwa wamefaidika? hii ni hatari sana kuwa na watu wa sampuli hii.

Sekta binafsi kama Clouds ambayo imeajili wafanyakazi kwa kuangalia IQ wale sio watangazaji ila ni ma-DJ wa miziki kuingilia haki zao wanazotetewa kwazo ni sawasawa na kujikana nafsi yako, hii sio nzuri. wasijifanye tawi la sisiemu
 
Labda ni Radio ya CCM tutajuaje ?
Mie hata simjui Owner wake ...hebu nidokezeni ili nijue pa kuanzia!
 
nakubaliana mtazamo wenu, kwa sas vyombo ingi vya habari hawaandiki habari za ccj
 
Hawa jamaa tungeachana nao bana.
Tumewazungumzia sana hadi nahofu kama tunawapandisha chati flani.
Please wana jamvi tuwapotezee.
 
Nafikiri wanaogopa hawana uwezo wa kuajiriwa sehemu nyingine kutokana na uwezo wao ndio maana wanakuwa ndio mzee.
 
ina lengo la kuelimisha, kuburudisha na kukosoa mkuu...
Inategemea wanaelimisha elimu gani. Kila chombo cha habari kinaelimisha, kitu ambacho kinaleta tofauti ni aina na madhumuni ya elimu inayotolewa.
 
Hivi kwa matazamo wa haraka haraka hicho kituo cha radio kitakuwa na wanasikizaji wangapi wanazikiza radio yao kwa siku? Acheni zenu
 
WanaJF nimekuwa msikilizaji mzuri wa hii Radio Clouds FM but now naona inaanza kunitia kichefuchefu,Nashindwa kuelewa kama hii Radio imegeuga uwanja wa kisiasa mara wanawashutumu CCJ, mara TUCTA mara MR Mkoba wa walimu, mpaka sasa sijailewa hii clouds ina mlengo gani, WanaJF nisadie
ili kitu nachoshukuru watu wengi wameisusia, kuna watu hata lile tangazo la Zain la kibonde likiwekwa wanabadilisha channel. kwa hiyo dawa yao ni kuendelea kuwasusia pamoja tunaweza
 
nakubaliana mtazamo wenu, kwa sas vyombo ingi vya habari hawaandiki habari za ccj

Nakubaliana na wewe mana CCJ walipoanza kuandikwa sana kwenye magazeti clouds wakawa wanaponda and now CCJ haiandikwi tena labda na wao waanzishe Radio yao
 
Hivi radio hii ya kisanii bado mnaisikilizaga? Watz jamani tubadilike tuanchane na hivyo vya udaku. At least WanFf tokeni huko udakuni tafadhalini sana.
 
Back
Top Bottom