Scandinavian Express ni wakala wa mabasi mengine au? Watu wa Mbeya tupeni mawazo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Scandinavian Express ni wakala wa mabasi mengine au? Watu wa Mbeya tupeni mawazo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jimba, Jun 25, 2010.

 1. j

  jimba Member

  #1
  Jun 25, 2010
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Habari wana JF,
  Ni kama mara mbili hivi kukutwa na tatizo la usafiri ninapotumia mabasi ya scandinavia especially location ya mbeya. Cha kwanza gharama ya usafiri kwao ni kubwa kulinganisha na hali ya mabasi yenyewe, hilo si neno! jambo lenyewe ni kwamba, hata wakijuwa kuwa kwa siku ya safari basi halitokuwepo kuna umuhimu gani wa kuwakatisha watu ticket na kuwapa mabasi mengine na hali wakijua gharama zao na mabasi waliyofaulisha hazilingani? Huu si ni utapeli kama si wizi? Hii tabia inachukuliwaje na watu wa mbeya na kwingineko kwenye mambo kama haya?
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Jun 25, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hivi haya mabasi bado yapo?
   
 3. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Scandinavia ilishakuwa-declare bunkrapt - ipo chini ya liquidator!
   
 4. a

  asagulaga Member

  #4
  Jun 25, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 76
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hiyo kampuni ilishapoteza umaarufu wake na utendaji wake uko mashakani sana. Ukitaka kusafiri na usafiri usio wa uhakika endelea kutumia mabasi mazuri ya zamani ys scandinavia express.
   
 5. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  Nilisikia kuwa wamesimamisha kabisa huduma kote nchini
   
 6. bona

  bona JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  kuna mabasi mengi tu mkuu its time kuacha ukiritimba wa kung'ang;ania basi fulani, kuna watu akiwa anaenda stand yeye ni toka nyumbani kashajua anaenda kupanda basi gani madhara yake ndio hayo! fika stand, chagua basi zuri safiri, kwa sasa kila njia mabasi ni mengi sana nadhan huna haja ya kukata ticket kabisa
   
Loading...