Vote for kilimanjaro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vote for kilimanjaro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mjukuu2009, Jun 24, 2010.

 1. m

  mjukuu2009 Member

  #1
  Jun 24, 2010
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Vote kilimanjaro for the New7Wonders of Nature,follow the link below

  Kilimanjaro | New7Wonders

  Uzalendo Mbele japokuwa pesa zinazopatikana kwenye utali azitufiki sisi watu wa chini.
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  PIGA KURA MLIMA WETU UPANDE CHATI DUNIANI
  :pray:
  [​IMG] TIMU YA GLOBU YA JAMII IMEPIGA MBIZI NA KUIBUKA NA LIBENEKE LA KUPIGIA KURA MAAJABU MAPYA YA DUNIA AMBAPO MLIMA WETU KILIMANJARO UMO ILA ILI KUPENYA KWENYE TUNDU HILO LA SINDANO INABIDI TUPIGE KURA KUUWEZESHA UORODHESHWE KWENYE MAAJABU SABA MAPYA YA DUNIA. SHIME SHIME WADAU NA TUPIGE KURA. UKIBOFYA HAKO KADUDE KA KIJANI JUU YA PICHA YA MLIMA UTAPELEKWA KWENYE UKURASA WA KURA. TAFUTA KILIMANJARO KISHA BOFYAAAAA!

  BOFYA HAPA KISHA FUATA MAELEKEZO HALAFU PIGA KURA YAKO !
   
 3. L

  Lady JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nshapiga!
   
 4. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Done.
   
Loading...