Vituo gani vya mafuta dar visivyocheketua jamani???

Vituo gani vya mafuta dar visivyocheketua jamani???

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,678
Reaction score
37,863
Wapendwa
kwa wale mlio ewura na kwingineko najua mnajua kuna baadhi ya vituo vya mafuta waaminifu awachanganyi na mafuta ya taa
kwa msaada wa watanzania tunaomba mtuwekee wazi vipi visivyo cheketua hata kama vipo mbagala.tuokoe magari yetu jamani.naomba mnijulishe gari zina miss mpaka basi jamani
unabadili pump mpaka madukani wanakwambia una mapepo ama??
Msaada
 
Back
Top Bottom