Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Msinisumbue tena, Hii ndo Orijini ya Vuvuzela na maana ya Kenakoo ni Tuko hapa, kwa hiyo kila wakichoka kupuliza wanayaweka hapo, na wanasema tuko hapa. Nice weekend Wamependeza???
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF nimekuwa msikilizaji mzuri wa hii Radio Clouds FM but now naona inaanza kunitia kichefuchefu,Nashindwa kuelewa kama hii Radio imegeuga uwanja wa kisiasa mara wanawashutumu CCJ, mara TUCTA...
0 Reactions
141 Replies
15K Views
RAIS Jakaya Kikwete ametangaza Mikoa mitatu, Wilaya, Tarafa na Halmashauri za Wilaya mpya ili kuimarisha utawala bora. Kwa sasa, Tanzania bara ina mikoa 26 hivyo kwa tangazo hilo la kusudio la...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Vote kilimanjaro for the New7Wonders of Nature,follow the link below Kilimanjaro | New7Wonders Uzalendo Mbele japokuwa pesa zinazopatikana kwenye utali azitufiki sisi watu wa chini.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna habari kuwa wafanyakazi karibu wote wa wizara ya ardhi makao makuu sasa hivi wapo nje ya jengo kwa kuhofia moto haijajulikana kama jengo linaungua au la....... ....duuuuuh, masikini hati zetu...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Topic za Malari sugu kwani hazina tija na anatafuta cheap popularity. Kwa kufanya ivyo atapata akili na ataacha utoto.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cannibal Fed Lover's Body To His Cats A cannibal who killed his lover before eating some of his organs and giving others to his cats has been jailed for 13 years.The killer, identified only as...
0 Reactions
1 Replies
997 Views
hivi kumbe Bill clinton yupo Tz; hili kombe la dunia bwana!!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani naomba kuuliza ukweli ni upi??? juzi kati nilikamatwa na trafiki nilipita njia ni no entry pale ukitaka kuingia subway ya peuget house badala ya kuzunguka mpk holidayinn kupitia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tumeona namna JF ilivyoboreshwa na kuwa na mambo mengi zaidi. Lakini mimi kuna kitu huwa bado naona kama kinapunguza sana ladha ya JF Mosi: Mtu anaruhusiwa kupost thread nyingi atakavyo na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
jana tarehe 15/06/2010, sanamu la Yesu huko Ohio, Marekani lalipuliwa na radi! This time god takes his/her own symbol [the son] in a spectacular way, and in front of several onlookers (and...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Imethibitika pasipo shaka kuwa timu za Africa katika mashindano ya kombe la dunia 2010 ni kundi la timu dhaifu. Ukiachilia mbali Ghana iliyoshinda mechi moja kwa 'bahati' kwa njia ya penati hakuna...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
HTML{height:100%;cursor:text;} BODY{padding:3px;border:0px;margin:0px;} .PlainText,.HTML{font-family:'Lucida Console' !important; font-size: 80%;} P{margin:0em !important;padding:0em !important;}...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwanamziki mkongwe wa mziki wa dansi nchini toka nchini Kongo Kinshasa, Fredy Mayaula Mayoni (RIP) amefariki dunia siku ya 27-05-2010 huko jijini Brussels, Ubeligiji, kwa ugonjwa kansa ya ubongo...
0 Reactions
11 Replies
13K Views
Raia yeyote anaposhindwa kutimiza wajibu wake kwa Serikali mfano kulipa kodi n.k. Serikali hutumia vyombo vyake vya dola kupata haki yake. :crazy:Nimekuwa nikijiuliza hivi raia wa kawaida...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtu kuangamiza familia yako sababu ya mapito ya dunia? Nazungumzia suala la mtu mmoja kuchoma nyumba makusudi kwa nia ya kumwangamiza baba yake na mama yake wa kambo, Hii ishu ilitokea siku...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ningependa kujua madu huyu yuko wapi siku hizi?......banned?.....au amedaili identity(ningejua hili kutokana na kuzoea hoja zake)
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Live streaming: http://www.wmitchell.edu/live.hotmail
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Juzi nilipita mtaa mmoja pale Sinza karibu na kituo cha daladala cha Mugabe, na kuona geti jeusi la nyumba moja lenye tangazo: "Private House, Nyumba Binafsi". Haraka nilipelekea kuwa wakazi wa...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Nimetembelea blogu nyingi kuona ipi ni bora na iliyotengenezwa kitaalamu kutoa fursa bora kwa watumiaji wake.Jamii forums nimegundua ndipo penyewe. Jf ina uvumilivu wa mambo mengi lakini inaogopa...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…