Tususie kuchangia

Tususie kuchangia

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,830
Reaction score
12,314
Topic za Malari sugu kwani hazina tija na anatafuta cheap popularity.

Kwa kufanya ivyo atapata akili na ataacha utoto.
 
Kama una ushahidi wa kutosha mi naona ungeasiliana na invisible afanye kitu flani.
 
jamani tusimtenge! kondoo huyu atapotea kabisa
 
Mwacheni tu aendelee na sreds zake ingawa nyingine ingawa ni chache huwa ni nzuri. Najua kiaranja wetu mkuu Invisible atakuwa anampimia tu na siku akiharibu sana utasikia BANNED; MALARIA SUGU!
 
Back
Top Bottom