Trafiki Police | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Trafiki Police

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Arsenal, Jun 24, 2010.

 1. Arsenal

  Arsenal Senior Member

  #1
  Jun 24, 2010
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 191
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jamani naomba kuuliza ukweli ni upi???

  juzi kati nilikamatwa na trafiki nilipita njia ni no entry pale ukitaka kuingia subway ya peuget house badala ya kuzunguka mpk holidayinn kupitia dailynews mi nikaamua kupenya pale na miaka yote nafanya hivyo, trafiki kanifata kutoka kituo cha mafuta cha pale BP mpk nilipopaki akanambia najua kosa langu nikamwambia hapana nikasema theres no entry sign there!! ooh we huoni ata palivojengwa?? huruhusiwi kupita pale na mimi kuokoa mda nikasema ok fine how much??? ooh twende kituoni!!apa sasa ndo kasheshe likazuka mana akataka kuingia ndani ya gari nikamwambia hell nooo!!sheria gani iyo inasema trafik akilikamata gari lazima apande???basi kwa hasira akapanda teksi tukaongozana mpk central na badala ya kunipa notification ya 20 thau akaniandikia charge sheet ya kwenda mahakamani kisa nimemkomoa eti!!!mi kufika pale hakimu na PP wanasema ni kosa ambalo halina sheria ya adhabu so wakanichaji 15k tu nikalifata gari langu central motooo!!!

  SO MY QUESTION IS "TRAFIK ANARUHUSIWA KUPANDA GARI LA MTUHUMIWA?" why do they do that???
   
 2. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Pole kaka, ndio maana mi nawakataga makofi, ninapoona nina haki huwa nasimama kweli kweli.Anyway hao ndio trafic wetu na kakufungulia chaji kwa hasira ya kutokumpa rushwa, hongera kwa kuwa na msimamo.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  ...INATAKA MOYO!...Watu wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa/elimu....Hongera bwana, at least umefanya kitu fulani kim'click kichwani, na next tym atajua jinsi ya kuhandle kazi hiyo kwa caution kidogo!
   
 4. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hongera mkuu. Hii ndo hali yenyewe! Kwanza sidhani hata alitakiwa kukupeleka kituoni. Ndo maana mahakama imekutema! Unatakiwa kumshtaki kwa kushindwa kufanya kazi!!!
   
Loading...