..Jamaa alipokwenda Arusha kipindi fulani mji mzima wa Arusha mitandao yote ya simu ikafunikwa mpaka alipoondoka ndoa watu tukarudi hewani...Hawana maana kabisa!:mmph::mmph:Yupo Bongo ila siku hizi hata akija hakuna makeke kama kipindi kile alipokuwa raisi wa dunia.
Kichwa cha thread mkuu kinasikitisha!..This is digging too dip broda!...At least mpe heshima zake kwasasa, maana anafanya kazi za KIJAMII na kusaidia kufuta UMASIKINI wetu!..I SALUTE HIM FOR THAT!