Hivi Sinza ni uwanja nambari one kwa ngono?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,701
Reaction score
6,936
Juzi nilipita mtaa mmoja pale Sinza karibu na kituo cha daladala cha Mugabe, na kuona geti jeusi la nyumba moja lenye tangazo: "Private House, Nyumba Binafsi". Haraka nilipelekea kuwa wakazi wa nyumba hiyo usumbuliwa na wageni (dar to dar) ambao udhani nyumba hiyo ni gesti, tena labda gesti bubu. Je yawezekana nyumba asilimia kubwa Sinza ni gesti bubu? Na ndio uwanja mkubwa wa ngono hapa Dar? Je, wakazi wa Sinza mnaliongeleaje hili?
 
Private House - Nyumba Binafsi: Maana yake ni nini? Hilo neno halimaanishi kuwa hilo jengo watu wanalichukulia kama "Guest House"! Nadhani mwenyewe kaamua kuweka "mbwembwe": Kama wale wanaoandika "Mbwa Mkali" wakati hata paka hamna

Haiwezekani nyumba asilimia kubwa kuwa Gesti bubu: Sinza ina wakazi wengi "ki-familia" na hivyo hata nyumba zilizopo haziwatoshi: Kwa hiyo si rahisi kukuta gesti bubu zina-out-number nyumba za makazi ya watu

kwa Dar es Salaam ilivyo: Na kwa utamaduni wet ulivyo: Sio rahisi ku-establish ni mtaa upi ambao unaendesha biashara ya ngono - Sinza inakuwa kwenye limelight kutokana na ilipo ki-jiographia ya Dar es Salaam: Kwa mtizamo wangu Sinza ndiyo ingebadilishwa na kuitwa "CBD".
 
CBD?...Central Business District au?....
 
Juzi nilipita mtaa mmoja pale Sinza karibu na kituo cha daladala cha Mugabe, na kuona geti jeusi la nyumba moja lenye tangazo: "Private House, Nyumba Binafsi". Haraka nilipelekea kuwa wakazi wa nyumba hiyo usumbuliwa na wageni (dar to dar) ambao udhani nyumba hiyo ni gesti, tena labda gesti bubu. Je yawezekana nyumba asilimia kubwa Sinza ni gesti bubu? Na ndio uwanja mkubwa wa ngono hapa Dar? Je, wakazi wa Sinza mnaliongeleaje hili?

Kwa kukusaidia, ile nyumba kama umeiangalia vizuri imepaka kabisa na gesti kwa upande wake wa kushoto.Sasa ni kwamba wateja wengi hukosea na kudhani kwamba na nyumba hiyo pia ni Gesti. Ndio maana mwenye nyumba pale akaweka lile Tangazo kuwa nyumba ile si Gesti... Asante
 
komredi yaelekea ukifika sinza mawazo yanahamia chini. ndiko ulikoanzia? mbona ni mji wa kawaida tu wenye mchanganyiko wa kila kitu
 
Ugeni una shida jamani. Si makosa yake. Lakini pia hapendi kuuliza kabla ya kufanya conclusion
 
hata hivyo kwani ngono ni tatizo? kama mtu hupendelei waache wengine waburudike!!
 
kichunguu ............mie sina kumbukumbu ya kufika sinza. Ninapita kwa daladala tu mara moja moja. Hivi kuna tofauti na maeneo mengine ya jiji?
 
Haraka nilipelekea kuwa wakazi wa nyumba hiyo usumbuliwa na wageni (dar to dar) ambao udhani nyumba hiyo ni gesti, tena labda gesti bubu.
Hii ni kweli. Anapakana na gesti na 'wageni' wengi hupotea njia!

Je yawezekana nyumba asilimia kubwa Sinza ni gesti bubu?
Hapana, asilimia kubwa ya nyumba ni za kuishi tu. Hata hivyo, ni kweli kuna 'gesti' na 'gesti bubu' nyingi ukilinganisha na maeneo mengine ya Dar.

Na ndio uwanja mkubwa wa ngono hapa Dar?
Kimantiki, hii ni kweli.
 
Ugeni una shida jamani. Si makosa yake. Lakini pia hapendi kuuliza kabla ya kufanya conclusion

Mimi sio mgeni Sinza. Pia sioni kama nimefanya conclusion zaidi ya kuuliza na kudhania (assumption). Angalia viziru kichwa cha habari na content!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom