Nini haki za raia mweka toka kwa serikali yake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini haki za raia mweka toka kwa serikali yake?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndachuwa, Jun 22, 2010.

 1. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Raia yeyote anaposhindwa kutimiza wajibu wake kwa Serikali mfano kulipa kodi n.k. Serikali hutumia vyombo vyake vya dola kupata haki yake. :crazy:Nimekuwa nikijiuliza hivi raia wa kawaida aliyejiajiri na ambaye analipa kodi zake zote, pale anapowajibika kukesha nje ya nyumba yake ili kulinda familia yake na mali zake akalalamike wapi? Hivi sasa wimbi la vibaka ni kubwa sana kiasi cha kuwafanya raia wema na ambao wameshatimiza wajibu wao wa kulipa kodi kwa serikali yao kulazimika kukesha ili kujilinda yeye, familia yake na mali zake. Ulinzi wa raia na mali zake ni haki ya msingi ya kila raia lakini maeneo mengi hiyo haki haitolewi na Serikali. Swali langu kwa wanamtandao hiyo haki tukaidai wapi?:redface:
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Wanamtandao ninyi hamjapata adha ya kulala nje Sungusungu na asubuhi yale uende kazini kuzalisha mali?
   
 3. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,838
  Likes Received: 2,000
  Trophy Points: 280
  ukikomaaa sana na serikali bana utakuja kulia wakati wao wako wanakula kuku
  jifanyie yaliyo mema na ndani ya uwezo wako ukishindwa ndio utafute usaidizi
   
 4. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimekupata lakini ili mtu awe productive budi apate muda wa kutosha wa kulala; sasa kama unatoka kazini baada unaingia tena kwenye kazi za kujilinda ambazo zinatakiwa kufanywa na dola ufanisi utakuwepo kweli?
   
Loading...