Moto wizara ya ardhi.....hati zetu je?

Tall

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,425
165
Kuna habari kuwa wafanyakazi karibu wote wa wizara ya ardhi makao makuu sasa hivi wapo nje ya jengo kwa kuhofia moto haijajulikana kama jengo linaungua au la.......
....duuuuuh, masikini hati zetu za nyumba!!!! Zitakuwa salama kweli?????? WAFUATILIAJI EBU TUPENI USAHIHI WA HILI AU KINACHOENDELEA.
 
kuna habari kuwa wafanyakazi karibu wote wa wizara ya ardhi makao makuu sasa hivi wapo nje ya jengo kwa kuhofia moto haijajulikana kama jengo linaungua au la.......
....duuuuuh, masikini hati zetu za nyumba!!!! Zitakuwa salama kweli??????

hooo.. Mkuu hati zako si unakuwa nazo mwenyewe second copy?
 
hooo.. Mkuu hati zako si unakuwa nazo mwenyewe second copy?
we acha tu, na kama faili lilikuwa kwenye process? Mfano faili lilikuwa mezani kwa boss, si ndio utaambiwa liliungua anza process upya?
 
jengo linamuogopa lukuvi nini?

we acha tu, na kama faili lilikuwa kwenye process? Mfano faili lilikuwa mezani kwa boss, si ndio utaambiwa liliungua anza process upya?

watendaji wa wizara ya ardhi wengi wao ni wahuni kuliko watendaji wa idara nyingine zote serikalini ukiondoa wa mamlaka ya mapato tanzania (tra), jeshi la "polish" tanzannia na uhamihaji..

May be ni mbinu za kupoteza vielelezo nyeti..
 
ngoja tusubiri tupate habari zaidi na undani wa jambo hili.
 
no wonder
ili sokomoko la mameya sjuji watendaji wa ardhi kupelekwa mahakaman unadhan padogo?
chen ni kubwa na watakaooumbuka ni wengi so wanachofanya ni kuavoid aibu......BORA NUSU SHARI KULIKO..........
apo chacha pamaji kuita mma!!!!
mbona neno bbhaaaaaaaa!!!!!!!!!!
mtachoma ving mwaka u!!!!!!!!!!
lakin mshashtukiwa waungwana shame on uuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!
 
no wonder
ili sokomoko la mameya sjuji watendaji wa ardhi kupelekwa mahakaman unadhan padogo?
Chen ni kubwa na watakaooumbuka ni wengi so wanachofanya ni kuavoid aibu......bora nusu shari kuliko..........
Apo chacha pamaji kuita mma!!!!
Mbona neno bbhaaaaaaaa!!!!!!!!!!
Mtachoma ving mwaka u!!!!!!!!!!
Lakin mshashtukiwa waungwana shame on uuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!
umesema ukweli
 
Nimeulizia nimepata habari kuwa hakuna moto isipokuwa kulitokea 'shoti' ya umeme......hata hivyo watu wa zima moto tayari walishafika eneo la tukio. Kila kitu kiko shwari!
 
nimeisoma hii habari hivi punde kwenye blog ya Jiachie!

jengo la wizara ya ardhi ladaiwa kuwaka moto hivi punde.

Blog yako ya Jiachie hivi punde imetaarifiwa kwa njia ya ujumbe mfupi kuwa jengo la Wizara ya Ardhi linawaka moto sasa hivi,na kwamba vikosi vya zima moto tayari vimekwisha wasili kwa ajili ya kupambana na moto huo.Tutazidi kutaarifiana hapa hapa Jamvini kwa kadiri ya taarifa zitakavyokuwa zinatufikia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom