WC 2010 Timu za Africa Nyonge: Misri inahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WC 2010 Timu za Africa Nyonge: Misri inahitajika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kipipili, Jun 21, 2010.

 1. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Imethibitika pasipo shaka kuwa timu za Africa katika mashindano ya kombe la dunia 2010 ni kundi la timu dhaifu. Ukiachilia mbali Ghana iliyoshinda mechi moja kwa 'bahati' kwa njia ya penati hakuna timu nyingine ya Afrika iliyoshinda zaidi ya kutoka sare na kuambulia kipigo.Kwa maoni yangu,
  1.Tuiombe FIFA ipunguze timu wakilishi za Afrika kutoka tano mpaka tatu (kuondoa viti maalum) kama ilivyokuwa zamani ili kuhakikisha timu zinopatikana zinaleta ushindani wa kweli.
  2.CAF iipe Misri ushiriki wa moja kwa moja kwa fainali angalau nne zijazo na nafasi mbili zigombaniwe na timu zilizobaki. Hii ni imani yangu kwa Misri kutokana na mchezo wao wa ari (jihad) muda wote wa mchezo hasa kutokana na kuwatumia wachezaji wengi wanaocheza ligi ya ndani(ubingwa wa mfululizo wa Mataifa ya Afrika ni kielelezo).
  3.Timu za Afrika zitumie wachezaji wengi zaidi wanaocheza ligi katika bara Afrika kwa kutumia makocha wa kiafrika na fomesheni za kiafrika(mf.3-2-5) badala kuwatumia wazungu wanaofundisha fomesheni za kizungu na wananuna timu za Afrika zikishinda (hata kwa bahati)
  4.Kwa mapenzi yangu yangu WC 2010 Afrika ingewakilishwa na DR Congo,Angola,Ghana,Ivory Coast, Misri na Tanzania(kwa heshima ya kuwa nchi kinara ilyokuwa mstari wa mbele katika ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika)

  Woza 2010
   
 2. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,988
  Likes Received: 3,737
  Trophy Points: 280
  mh!?
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu nadhani historia ya WC na Africa imekupiga chenga kidogo. Miaka si mingi the only teams zilizokuwa zinawakilisha WC kutoka Africa zilikuwa ni zile North of Sahara desert. i.e. Algeria, Morocco, Tunisia na hiyo Egypt. Timu hizo zilikuwa zkichapwa 5-0 au 6-1 nk. Hakuna hata moja kati ya hizi iliwahi kuvuka a group level.

  Cameroun walipoingia in 1990 ndipo historia ya ushiriki wa Africa in the WC ilipobadilika. Hivyo basi pamoja na mapungufu yote tunayoyaona lakini kuna improvement as such hakuna timu amabayo itajiaminisha 100/100 kushinda ikicheza na timu ya Africa.

  Just a point to ponder kwa Ulaya ukiondoa Spain, Italy, England, Portugal na Ujerumani bado nao wanastruggle kama Africa.
   
 4. M

  Magezi JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Misri imeshiriki mara kadhaa ikiambulia vipigo tu na hakuna timu ya kiarabu iliwahi vuka hatua ya makundi.....only Cameroun kwa hiyo naona maendeleo ya soka afrika siyo mabaya.
   
 5. bona

  bona JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  to be honest at the moments misri seems to play better than everybody may be wangekuwepo wangesaidia kidogo, tukubali africa mpira bado sanaaaaa! talent is there no question about it ila discpline ndio tatizo, sio discpline ya kumuamkia kocha asbui la hasha, discpline ya mchezo, kuzingatia masharti na kufuata maelekezo ya kocha!
   
 6. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Mmh nasindwa cha kusapoti. bora tuendelee kujiburudisha.
   
 7. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Mkuu, Kama Misri ni timu nzuri kama hivyo unavyodhani, then kupata nafasi ya kucheza WC ingekuwa kitu kidoogo sana kwao isingelazimika kucheza mechi tatu na Algeria na kisha kuiachia nafasi kwenda WC na wao kubaki! Misri ni timu nzuri kweli na ninaamini kuwa haihitaji 'Viti Maalumu' (Nimeipenda hiyo!) ili kwenda WC! Itumie jihad yake iliyo nayo ili kusfanya hivyo!
   
 8. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2010
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nakuunga mkono kwenye Misri , Ghana Ivory coast lakini kwenye nyekundu Mh!!!!!!!
   
 9. g

  gutierez JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  kazi kwelikweli,kombe la afrika lenyewe linatushinda kupita,kiwango cha soka afrika kimeshuka sana,mara ya mwisho senegal tu 2002 ilitufurahisha.
   
 10. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ni juzi tu Misri walichapwa na England goli 3-0 nadhani ilukwa ni njia ya waingereza kujifunza mbinu za Algeria lakini haikusaidia kitu .......Misri si ilishiriki Confederation Cup mbona haikufika popote????
   
 11. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #11
  Jun 24, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Misri, misri, misri hivi watu wana matatizo gani. Kama hao misri wangekuwa na mpira mkubwa sana si washinde wenyewe tu hatua za awali na kukata tiketi kwa soka lao. hawa waarabu wote mi wananiboa sana kwanza wenyewe huwa hata hawajihesabu kuwa ni waafrika.
   
 12. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #12
  Jun 24, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  mzee unaiamini misri kiasi hicho????................si bora hata algeria ilijitahidi kwa kuweza kutoa droo na england.........mbona misri baada tu ya kuchukua kombe la africa ilialikwa huko wembley ikachapwa mibao minne kwa moja????????????sasa misri si africa ileile kwa maana hiyo ni kichapo kilekile je........................mkuu misri labda watupe mbinu nyingine kama kuona ni namna gani tutaweza kujitoa mhanaga uwanjani ikiwa ni pamoja na kuvaa mabomu uwanjani ili mtu akitaka kufunga tu analipuliwa...............vp kwa hilo
   
 13. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  Yaani mawazo yako mwandishi ni sawa na masikini anayeota ameamka asubuhi ni tajiri il mbaya.................unaondoa fikra ya kujituma na kiufanya maandalizi unafikiria zaidi nafasi za upendeleo kwa timu furani why?????????
  Timu nzuri haiwezi kufungwa na timu mbaya na timu inayofanay vizuri ndiyo inayopata nafasi ya kusonga mbele...........
   
Loading...