Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nina wiki tatu sasa sijapata HAJA KUBWA. Kula nakula vizuri lakini vitu havitoki Nikienda toilet kila nikilazimisha, KUBWA haitoki Nimekula mapapai hadi natoka kitambi lakini sinyi. Nifanyeje?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
BURIANI DK REMMY ONGALLA NILIKUWA NA PRESSHA ASBH YA LEO GAFLA NILIPOONA BURIANI NA PICHA YA MZEE WETU MAKASSY NIKASEMA MZEE NAE KAMFWTA MJOMBA REMMY AMA ..KABLA YA KUSOMA CHINI AHASANTE KWA...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu I need some help in converting MKV files into AVI urgently. Have tried to google lakini naona kunakuja solutions nyingi nyingi of which sielewi which is which na pia I am concerned na safety...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dakika kama tano zilizopita kuna tukio la kijambazi limetokea ambapo majambazi wamempiga risasi na kupora mtu pesa ambazo hazikujulikana. Ni hatari na eneo limezizima kwa muda sasa, huduma zote...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mpendwa mama tibaijuka salamu katika jina la BWANA WETU YESU KRISTO ALIE HAI...kwanza napenda kukupongeza kwa speed uliokuja nayo ingawa baadhi inaishiaga kuwa nguvu ya soda kwa uweza wa mwenyezi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa miaka nenda miaka rudi, serikali imekuwa inapuuzia kukusanya kwa ukamilifu mapato yake, ikiwa ni pamoja na kutotilia maanani ufuatiliaji wa marejesho ya madeni yake. Kwa mfano, wadadisi wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ILE tabia ama tunaweza kuiita kuwa ni hulka iliyozoeleka kila baada ya uchaguzi mkuu unapokaribia na wakati wa mchakato mzima wa kampeni haishangazi kuwaona wagombea wakijisahau na kutoa shikamoo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF naomba mnisaidie. naogopa ninapomkuta mwanangu wa miaka mitano akiwa na wenzake wanaimba wimbo wa alamba, alamba tena, kisha wanaoneshana kidole mithili ya kulamba. Kimaadili sijui huu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari kutoka Muleba mkoani Kagera zinasema kuwa basi la abiria la kampuni ya ALLYS lililokuwa likisafiri kutoka Bukoba kwenda Dar-es -salaam limeungua moto na kuteketea kabisa. Inasemekana tatizo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jamani draw ndio hiyo hapo kazi kwenu hahahaaaa arsenal jamani poleni Roma v Shakhtar Donetsk AC Milan v Tottenham Hotspur Valencia v Schalke Inter Milan v Bayern Munich Lyon v Real Madrid...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tarehe 9/12/2010 Musiba alikula chakula katika hoteli ya MERR'Y HOTEL iliyopo Opposite na Zanzibar Hotel karibu na ofisi za channel Ten. Baada ya chakula alijisikia tumbo linaanza kuuma na...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Shinyanga, Singida na Tabora, je kuna nini mpaka theluthi mbili ya watoto wa shule za msingi wameshindwa kufaulu mtihani wa darasa la saba? Je Wabunge kutoka mikoa hii, mnatuambia nini sisi...
0 Reactions
19 Replies
74K Views
Natumaini hamjambo wana JF naomba wahusika haswa Waziri wetu mpendwa wa Ujenzi Magufuli mtusaidie sisi watumiaji wa barabara ya Mbezi tank Bovu hadi Goba-Kimara. Kuna bango la TANROADS limewekwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Swali la msingi kwa nini wagogo ndo ombaomba??wakati rasli mali wanazo??siri ya urembo nini??
0 Reactions
10 Replies
3K Views
katika siku mbili zilizopita, kuna tatizo ambalo limenitokea mimi na wateja wengine wa matandao wa tigo, inatokea unampigia simu mtu anapokea mtu mwingine ambae siyo yule uliyempigia (sio wrong...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Adelline, dada aliyefukuzwa kazi baada ya kuugua kidole tumbo ameshinda kesi yake dhidi ya Mzungu aliyejifanya yuko juu ya sheria. Adeline alinyimwa haki katika mahama ya wilaya, lakini...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Jamani kwa walioangalia taarifa ya habari leo asbh itv kuna diwani mmoja ameonyeshwa live akitangaza kujivua udiwani kwa kusema amejitahdi kwa muda mchache akiarajia msaada toka serikalini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waziri apokewa na mgogoro mzito TRL Na Rehema Mohamed. WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) wamemtaka Waziri wa Miundombinu Bw. Omary Nundu kutoa ufafanuzi kuhusu Menejimenti ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hatimaye ule wimbo wa Dr. Remmy Ongala uliopigwa marufuku miaka kadhaa iliyopita umerushwa hewani leo hii na Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast.................. Naomba mwenye lylics...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…