Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,272
- 31,396
Hatimaye ule wimbo wa Dr. Remmy Ongala uliopigwa marufuku miaka kadhaa iliyopita umerushwa hewani leo hii na Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast.................. Naomba mwenye lylics zake aniwekee hapa