Converting MKV files to AVI

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,466
1,164
Wakuu I need some help in converting MKV files into AVI urgently. Have tried to google lakini naona kunakuja solutions nyingi nyingi of which sielewi which is which na pia I am concerned na safety pia.
 
Shomari

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,113
239
unaweza kudownload Gom player ambayo inacheza file za aina zote badala ya ku convert kama itawezekana jaribu.
 
Bantugbro

JF-Expert Member
Feb 22, 2009
4,475
4,231
Wakuu I need some help in converting MKV files into AVI urgently. Have tried to google lakini naona kunakuja solutions nyingi nyingi of which sielewi which is which na pia I am concerned na safety pia.

Umejaribu kutumia Titanium Toast 10 Pro
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom