Alamba, alamba tena

Alamba, alamba tena

nginda

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
744
Reaction score
82
Wana JF naomba mnisaidie. naogopa ninapomkuta mwanangu wa miaka mitano akiwa na wenzake wanaimba wimbo wa alamba, alamba tena, kisha wanaoneshana kidole mithili ya kulamba. Kimaadili sijui huu wimbo unalenga nini, lakini kwa asili najua miziki mingi ya taarabu huimbwa kwa matusi ya mafumbo.

Tufunge TV watoto wasiangalie miziki?
Tuwanyime kucheza na wenzao (shule watasoma wapi)?

naomba kupata tafakari zenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom