Tibaijuka;tatizo ni watendaji wa ardhi na manispaa hata ulale kanisani shida tupu


P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,873
Likes
8,691
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,873 8,691 280
Mpendwa mama tibaijuka
salamu katika jina la BWANA WETU YESU KRISTO ALIE HAI...kwanza napenda kukupongeza kwa speed uliokuja nayo ingawa baadhi inaishiaga kuwa nguvu ya soda kwa uweza wa mwenyezi MUNGU atakupigania..mpendwa mama yawezekaana unamatarjio makubwa ya kubadilisha jiji la dar na kuweka heshima kubwa wizara ya ardhi..lakini ukweli na utabaki kuwa ukweli ni kwamba mama MANISPAA ZOTE NI CHAFU ZIMEJAA RUSHWA TUPU na Huko ardhi ni hatari tupu..labda tukueleze ukweli shida inayokuwepo ukitokea uhuni wa kiwanja wanachofanya zaidi ni kuwabadilisha so ni kumtoa mwizi temeke na kumpeleka kinondoni unataraji nini

Naamanisha ni kweli una malengo makubwa mazuri lakini kama wachafu wako chini yako hta ufanyeje kazi yako itakuwa ngumu sana na kukuhakikishia hilo ukimaliza na palmbeach njoo uone TEGETA ,MBEZI BEACH WATU WALIVYOTAPELIWA NA KUIBIWA WAKISHIRIKIANA NA WAKURUGENZI WAKUBWA ARDHI NA MANISPAA....NISINGEPENDA UINGIE KWENYE MKUMBO WA KUITWA NGUVU YA SODA AMA MANENO MATUPU NAFIKIRI KITU CHA KWANZA ULICHOTAKIWA KUPATA ADVC MAMA NI KUSAFISHA HUO UCHAFU NA KUFUKUZA WALE WOTE WALIOHUSIKA NA HIVYO VIWANJA VICHAFU KABLA YA KUDEAL NA WENYE VIWANJA..KUMBUKA KAMA WAPO UNAHISI NANI ATASEMA ALIKOSEA????

NI NGUMU SAANA NA KAMA USIPOKUWA MAKINI MAMA YANGU UTAISHIA KUTUKANWA NA WATANZANIA WALIO NA MATARAJIO MENGI SANA SANA UKIZINGATI VIWANJA VINGI VYA WAHINDI NA WAMEPEWA KWA KUTUMIA MGONGO WA RAIS WETU KIKWETE..NI WAZI ITAFIKA WAKATI UTAATAKIWA KUJKANA AMA KUKANA KAZI YAKO ILI IENDE MBELE NIKIMAANISHA HATA MAAMUZI YAKO PIA...
 
L

Lady

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2010
Messages
282
Likes
24
Points
35
L

Lady

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2010
282 24 35
Pdidy, nowadays you have changed alot, even in your posts, Congrats!
 
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
17,081
Likes
70
Points
0
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
17,081 70 0
Hii inanikumbusha nguvu za soda alizoanza nazo lowassa aktwambia viwanja vyote vyenye matatizo vitashughulikiwa akaunda na tume, tuliozukuniwa viwanja vyetu na wachaga kule Mbezi beach tukaanza kuonana na tume tukapeleka makaratasi yetu, duhhh, hata sijui ile tume ikafia wapi.

Haya ndio ya Tibaijuka. Lakini tunaomba uendeleze ulichoanzisha, ningedhani ungeanza na watendaji hao waliobadikisha matumizi ya viwanja ndani ya Wizara yako. Funga wote, au ua kabisa by firing squad halafu watu kama hawa wanaojidai uwaombe radhi, eliminate kabisa, kwa kuwauwa tu. Hakuna njia nyingine, hapo ndio watatia akili.

Vinginevyo vyovyote ni kama kumpigia Mbuzi Gita.
 
Ally Kombo

Ally Kombo

Verified Member
Joined
Nov 11, 2010
Messages
11,435
Likes
72
Points
145
Ally Kombo

Ally Kombo

Verified Member
Joined Nov 11, 2010
11,435 72 145
namshauri muheshimiwa angafanya yafuatayo:
1. Angechunguza kila kiwanja Godfather ni nani!?
2. Ajiulize, je anaweza kupambana nae? (Godfather)
3. Michongo yote huanzia hapo hapo, na kutoka kwa hao hao maofisa wako, je unaweza kuwabaini?
4. Hakikisha unaanzisha move ambayo utaimaliza!
nakumbuka wakati wa Njomba Nkapa anaingia madarakani, kulikua na Scandali ya SEA CLIFF na Golden Tulip na alidai akiingia madarakani tu, atafuta hivyo viwanja........(Warioba pia alipiga kelele kweli) aaaah.....wapi! si ile mijengo imesimama!
 

Forum statistics

Threads 1,237,576
Members 475,562
Posts 29,293,883