Cyprian Musiba wa Channel Ten adaiwa kula chakula chenye sumu

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,891
382
Tarehe 9/12/2010 Musiba alikula chakula katika hoteli ya MERR'Y HOTEL iliyopo Opposite na Zanzibar Hotel karibu na ofisi za channel Ten.

Baada ya chakula alijisikia tumbo linaanza kuuma na siku hiyo hakula chochote mpaka siku iliyofuata ambapo yeye alikuwa anaongoza kikao cha kutathimini mishahara ya wafanyakazi ambapo wanalalamikia mkurugenzi mkenya kupewa 10m na hawara yake Adelin Mushi kupendelewa.

Hoja ya wafanyakazi ni kutaka Mkurungenzi aondoke kwa sababu ananyanyasa wafanyakazi!!

Tarehe 10/12/2010 saa saba Musiba alizidiwa ktk mkutano na kupiga simu kwa mkewe ambapo jioni alizidiwa na kukimbizwa hospitali ya jirani kabla ya kupoteza fahamu na kuwa chini ya uangalizi maalumu.

Dr ally alimupima vipimo na kubaini kulikuwa na sumu kali inapenyenya kwenye mwili na kumupa dawa za matibabu haraka.
Alex Kobia anatajwa kusimikwa na Lowassa na Rostam
 
Kuna uhusiano gani kati ya Alex Kobia , kundi la Lowasa na Channel ten
 
Kwani yeye ndo muongeaji pekee kama yanawasibu wote then ata wengine wachonge maslai yaongezwe.
Ila wakenya kwa kuwapunja watz bwana wamezidi
 
Hii thread sijaielewa! Vimechanganywa vitu tofauti hapo havina hata ushirikiano
 
Kwa hiyo? unamalizia kwa kusema sisi ni weak?

"mtu akikujua "UNA AKILI" na akakueleza upuuzi/ujinga na "UKAUKUBALI NA KUUTEKELEZA" atakudharau"....na "UKIYAKATAA" atakuogpopa na kukuheshimu... Mwl. J.K. NYERERE katika moja ya hotuba zake alisema maneno haya...wanatudaharau kwakuwa walitueleza ujinga na tukaukubali... na ujinga huo ni "MSOMI NI YULE ANAYEONGEA KIINGEREZA NA SIO KISWAHILI NA UCHAPAKAZI ULIOTUKUKA"... KATAA UJINGA UHESHIMIKE
 
nahisi huyu jamaa anataka kuongelea "unyanyaswaji na ugaidi unaoendelea channel ten dhidi ya wafanyakazi wazawa"

Aeleze vizuri aeleweke sasa... kuchanganya changanya namna hii inakuwa vigumu kuelewa anataka kusema nini
 
Aeleze vizuri aeleweke sasa... kuchanganya changanya namna hii inakuwa vigumu kuelewa anataka kusema nini

Simsemei; ila nahisi alitaka kusema kwamba , Cyprian Musiba ndiye aliyeeongoza kikao hicho, na kwamba pengine alikuwa na mapendekezo mazito, hivyo, EL na RA ambao wanamkono kwenye Channel 10 wanaweza kushiriki hujuma.
Hata hivyo, kwa mtazamo wangu hii habari ina upungufu mkubwa, kwani kama kweli alilishwa sumu, kwanini :
1) Mwenye Hoteli asihojiwe
2) Mpishi na mhudumu wasihojiwe
Pia, kwanini akimbilie kwamba Alex Kobia anahusika eti kwa vile tu anauhusiano na kina Lowasa na Rostam?
Hii habari haijakamilika , na mwanzilishi anatakiwa alete ufafanuzi wa jinsi gani kifo cha Musiba kingemaliza malalamiko ya Wa TZ hapo Channel 10
 
hiyo hotel including zanzibar hotel, ni kawaida yao kuuza vyakula vilivyolala. Kama hujazoea kula viporo ukila ktk hotel hizo lazima tumbo lichachamae kama umelishwa sumu vile.

Hakuna sumu hapo. alikula uchafu tu.
 
"mtu akikujua "una akili" na akakueleza upuuzi/ujinga na "ukaukubali na kuutekeleza" atakudharau"....na "ukiyakataa" atakuogpopa na kukuheshimu... mwl. J.k. Nyerere katika moja ya hotuba zake alisema maneno haya...wanatudaharau kwakuwa walitueleza ujinga na tukaukubali... Na ujinga huo ni "msomi ni yule anayeongea kiingereza na sio kiswahili na uchapakazi uliotukuka"... Kataa ujinga uheshimike
i agree with you 100%
 
Tarehe 9/12/2010 Musiba alikula chakula katika hoteli ya MERR'Y HOTEL iliyopo Opposite na Zanzibar Hotel karibu na ofisi za channel Ten.

Unapokuwa kwenye mapambano jihadhari na kula kula hususani maeneo ya jumla........au vinginevyo utaona kilichomtoa nduli pangoni............
 
Simsemei; ila nahisi alitaka kusema kwamba , Cyprian Musiba ndiye aliyeeongoza kikao hicho, na kwamba pengine alikuwa na mapendekezo mazito, hivyo, EL na RA ambao wanamkono kwenye Channel 10 wanaweza kushiriki hujuma.
Hata hivyo, kwa mtazamo wangu hii habari ina upungufu mkubwa, kwani kama kweli alilishwa sumu, kwanini :
1) Mwenye Hoteli asihojiwe
2) Mpishi na mhudumu wasihojiwe
Pia, kwanini akimbilie kwamba Alex Kobia anahusika eti kwa vile tu anauhusiano na kina Lowasa na Rostam?
Hii habari haijakamilika , na mwanzilishi anatakiwa alete ufafanuzi wa jinsi gani kifo cha Musiba kingemaliza malalamiko ya Wa TZ hapo Channel 10

Wewe ndo umeichakachua kabisaaaaaaaaaa hii tread!!
 
I agree with you ni uchafu tu, tunaijua hiyo hotel ndio wenye tender ya kulisha wanafunzi wa Tumaini University, kula chakula chenye food poison hapo sio ajabu kabisa.
Hata hivyo tuhuma za kuwapa wageni dau kubwa haswa wakenya na West African kwa sasa limeshamiri kweli kweli. Tuna mpa pole Cyprian Musiba mpiganaji mwenzetu, akaze buti tu ni ajali kazini.

hiyo hotel including zanzibar hotel, ni kawaida yao kuuza vyakula vilivyolala. Kama hujazoea kula viporo ukila ktk hotel hizo lazima tumbo lichachamae kama umelishwa sumu vile.

Hakuna sumu hapo. alikula uchafu tu.
 
Kwa nini channel ten inaongozwa na Mkenya ambaye anapata 10m wakati wafanyakazi wanapata laki tatu na wanadai mishahara lakini wanafukuzwa.
Mkenya huyo anasafiri kila wiki kwenda Kenya na anamiliki TV nchini Kenya
Je kuna haki???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom