Michuzi ujamtendea haki mzee makassy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Michuzi ujamtendea haki mzee makassy

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Dec 17, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,783
  Trophy Points: 280
  BURIANI DK REMMY ONGALLA

  [​IMG]

  NILIKUWA NA PRESSHA ASBH YA LEO GAFLA NILIPOONA BURIANI NA PICHA YA MZEE WETU MAKASSY NIKASEMA MZEE NAE KAMFWTA MJOMBA REMMY AMA ..KABLA YA KUSOMA CHINI
  AHASANTE KWA KUTUKUMBUKA ILA MICHUZI KWA KICHWA CHA HABARI TULITARAJI PICHA YA UNLE REEMY TUNAVYOONA PICHA YA MZEE MAKSSY AKIDONDOKA HATA KESHO BAHATI MBAYA VIJANAWAKE WATAKUNGANGANIA MKUU REKEBISHA PICHA AMA KICHWA CHA HABARI
   
 2. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  [​IMG][​IMG]Huyo ndiye michuzi, mwanahabari anayeaminiwa sana na ccm na mpiga debe wao maarufu. Kuna sherehe za Kibalozi zilifanyika juzi Michuzi ametuhabarisha kuwa mmoja wa wanamuziki wa Kimataifa toka nchini MOGADISHU wametumbuiza
   
 3. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  na mimi nilishangaa na nikaikuta kwenye blog nyingine nikasema kweli watu tumesoma shule tofauti au mitaala tofauti.
   
 4. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Lakini ndugu yangu, jitahidi basi kuwa unakumbuka nukta na mkato. Pia uwe unaihakiki habari yako. Inasumbua saana kuelewa ulichoandika kuliko hiyo habari ya Michuzi.
   
 5. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2010
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  yaani mie nakubali ulichosema maana niliingia nikazani wow hii ndio alivyokuwa kabla ya kufariki then nikaona maandishi kwenye t-shirt
   
Loading...