Mama Ampelekea Mumewe Nanasi Yenye Kisu Gerezani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama Ampelekea Mumewe Nanasi Yenye Kisu Gerezani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ng'wanangwa, Dec 10, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Uganda. Kwa Museveni.

  Dah!

  Maza anaitwa Faridah.

  Mumewe yuko selo. Omar Awadh Omar

  Ishu ya mabomu ya kombe la dunia.

  Mumewe ni 'mwanaharakati'

  Mwanaharakati wa al-Qaeda.

  Maza alikwenda kumsabahi baba. Gerezani.

  Katika zawadi alizokuwa akimpelekea.

  Moja wapo ni nanasi.

  Kumbe ndani ya nanasi kachomekea kisu. kwa ustadi mkbwa.

  'Vipira' wakastukia.

  Maza yuko selo.

  Source?

  Majira ya Jana.

  Mai Teki:
  Kuna wanaharakati wa aina mbili: Wanaharakati safi kama mimi ninayefanya harakati za kudai katiba mpya, na wanaharakati wa mitandao ya kigaidi.

  Swali?

  Kwa nini?

  Why? Watu wote wanafanya mambo za kigaidi ni majina ya Kiarabu? Ah sorry...majina za kiislamu?

  Source ni majira. ya jana. sitarajii kuitwa mdini kwa sababu mimi siyo source.
   
 2. k

  kayumba JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  Ni bahati mbaya sana kuwa watu wengi wamesikia neno ugaidi hivi karibuni. Lakin ukweli ni kwamba Magaidi wengi wa zamani hawakuwa Waislam kama ilivyo leo. Tafsiri ya ugaidi imepotoswa mara kadhaa hasa na serikali za magharibi. Mara nyingi ugaidi umekuwa ni matokeo ya dhuluma japo kwa sasa wapo wanaotumia vibaya dini ya kiislam kuhalalisha vitendo vya kigaidi. Ukweli unabaki pale pale kwamba UISLAM hauruhusu mauaji ya mtu asiye na hatia!

  Mifano ya magaidi wasio waislam ni IRA-Uingereza, Basque ETA-Spain, Wanazi enzi za Hilter, Islaer n.k na ikumbukwe kuwa huu ugaidi wao haukuhusishwa na dini zao!

  Pongezi kwa Mandata walioweza kugundua hicho kisu kabla huyo gaidi hajafanya kweli.
   
 3. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Asante sana mkuu umejitahidi kumjibu maana hii thread imekaaa kiuchokozi zaidi
   
 4. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Thread haiko vizuri.
  Why say mama wa kiislam na sio Mke wa gaidi.
  Majina si kitambulisho cha dini ya mtu na Islam sio ugaidi ingawa wapo magaidi waislam. Hata kina Mandela waliwahi kuitwa magaidi ingawa leo tunawacelebrate kuwa heroes wetu, kumbe mahali pengine integemea nani anatoa tafasiri ya ugaidi.
  Maelezo ya Kayumba yanatosha sana.
   
 5. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #5
  Dec 10, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
 6. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Wewe nimekuwa nafuatilia post zako zote ni za kichonganishi wa kidini, halafu ill-researched.
  Mimi nilisikia neno ugaidi (terrorism) kwa mara ya kwanza baada ya OKLAHOMA city bombing 1995. Terrorist mwenyewe alikuwa anaitwa
  Timothy McVeigh, hili jina kwako ni la kiislamu au kiarabu? Vipi kuhusu IRA magaidi waliosumbua Ireland na Uingereza muda mrefu? Kwa taarifa yako walikuwa wakatoliki! Na huko huko Uganda magaidi namba moja ni LRA wa Joseph Konyi hawa nao wana majina ya kiarabu? Grow up man!
   
 7. L

  Leornado JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Sioni kosa la huyo Mama, mumewe angekulaje nanasi bila kisu:hungry:. Pengine kisu kilikuwa maalum kwa kumenyea nanasi na si vinginevyo.....
   
 8. J

  Jakanyanda Member

  #8
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mke wa mwizi nae ni mwizi anakula vya wizi hivyo huyo maza alikuwa anatetea ugaidi wa mumewe wakalipue mabomu,angeachiwa angerudi kavaa mabomu na kulipua gereza.
   
 9. k

  kayumba JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  Simple logic!
   
 10. Ustaadh

  Ustaadh JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2010
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hata Mzee Mandela aliitwa gaidi wakati anapigania uhuru....kwa hiyo inategemea nani ana-define.....
   
 11. Baba Sharon

  Baba Sharon JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 374
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Jerusalem wacha udini,na uchonganishi it wont do you any good.Umetumwa eeh
   
Loading...