Msingi wa mgawanyiko wa udini Tanzania umejengwa na ILANI ya CCM 2005?

Status
Not open for further replies.

rugumye

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
561
178
Msingi wa mgawanyiko wa udini Tanzania ulijengwa kwenye ilani ya CCM mwaka 2005? chairman wa CCM asitafute mchawi wa chanzo cha mgawanyiko wa udini Tanzania. sijui km nipo sahihi wana jamii nisaidieni
 
Ee Mungu Muumba mbingu na nchi, Wewe uliyefanya kinacho onekana na kisicho onekana
Wewe ukisema nani atasimama ukinyamaza kimya nani ataongea?
Wewe pekee ndiye mtakatifu, wewe pekee Mungu, Bwana wa Majeshi
Mfalme wa wafalme,Ujuae kila jambo lililo wazi na lilio sirini mwa wanadamu
Mwanadamu ni nini hata umumwache? mwanadamu ni nani hata umuhurumie?
Tazama waio haki wanataka iharibu nchi yetu,Uwaone toka utosi hata unyayo
Uifumbe midomo yao na vinywa vyao, Wawe mabubu wakiinenea nchi yetu mabaya
Watazame kwa jicho kali wote wanaotaka kueneza udini, Uwahukumu kwa haki ee Mungu
Waadhibu kwa hasira yako kama ulivyomuadhibu Farao, waangamize wasionekane kabisa
Watuachie nchi yetu yenye amani, Ee Mungu usikie kuomba kwetu. waadhibu kwa haki
Kama ulivyo waadhibu watu enzi za Walawi waadhibu ee Bwana Mungu

Na aadhibiwe yeyote anayeleta udini Tanzania..na Watu wote semeni..Amina
Na aadhibiwe anayechochoea udini Tanzania na wote semeni ....Amina
Na atoweke yeyote mwenye nia ya kupandikiza udini Tanzania.. na wote semeni ..Amina
Na Alaaniwe yule aliyepandikiza mbegu ya udini Tanzania..na wote semeni ...Amina
Na Alaaniwe yeyote anayemtenga jirani yake kwa sababu za udini...wote semeni...Amina
Na Alaaniwe Ambaye anafikiria kuishi kwa kubagua dini ni sawa.na wote semni...Amina
Na Alaaniwe yeyote mwenye mamlaka ambaye anatumia kigezo cha udini kuajiri..na..wote semeni Amina
Na alaaniwe Ambaye anapandikiza dini katika siasa na wote semeni...Amina
Na alaaniwe Kiongozi yeyote wa Dini anaye tumia kofia ya udini kupandikiza chuki ya kidini..wote semeni.. Amina
Na Alaaniwe yeyote atakaye soma ujumbe huu na kukasirika..wote semeni ....Amina
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom