Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanajf wenzangu huwaga nakaa na kuwaza hv huyu ndugu kikwete anajua au ?eti nchi kuna shida nyingi eti kikwete anajua?eti jamani matokeo ya skuli za kata mabaya eti anajua ?eti jamani dr. kikwete...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Du!!!!!!!!! Uandishi gani huu yaani hizi L na R zinaleta shida mpaka Tasnia ya habari inapoteza umakini kiasi hiki????- ina maana huko Mwananchi hata proof readers hamna? Mkataba wa Lights...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Maxence Mello na team yako nawapeni pongezi kwa kazi nzuri ya kuboresha JF.Mmefanya mageuzi mazuri na kuongeza uwanja mpana wa jarida ili sisi wadau wa mtandao tujinafasi kwa raha zetu.Pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
http://www.veetle.com/index.php/channel/view#4d3dfd1fec92b
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakaazi wa mji wa Arusha leo walikuwa na wakati mgumu baada ya huduma ya usafiri kuwa ni ya taabu,baada ya gari lililobeba gesi kuziba njia nje kidogo ya mji wa Arusha eneo la shangarai nje...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
We know that the year 2011 is the 7000th year from the flood. We also know that God will destroy this world in that year. But when in 2011 will this occur? The answer is amazing. Let's take...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa muda mrefu sasa wadau na wanazuoni mbalimbali wamekua wakipinga mpango uliozaa shule za kata.serikali kwa upande wake imekuwa ikisifia mpango huu lakini imeumbuka baada ya matokeo ya kidato...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa muda mrefu nimefuatilia maswala mbalimbli kama mtanganyika kama serikali invyo baka mishahara ya wafanyakazi, ilivyo lazimisha kuingia kwa net group, rcmond kisha do once, jinsi ilpoamua kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Hamisi Said (49) amekutwa amekufa katika choo cha msikiti wa Idrisa, Kariakoo jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi wa Ilala...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kuna gari la gas maeneo ya shangalai limetoboka tank, gas inavuja, watu wamekimbia wengine wameacha magari yao. ni kizaa zaa
0 Reactions
14 Replies
2K Views
WanaJF,Ndugu,nauli ya daladala inapanda,gesi imepanda,umeme umepanda, bei ya sabuni, bei ya mafuta ya taa juu,bei ya sukari imepanda mpaka kilo sh.1900 pengne 2000. Kwa mishahara ya laki tutaenda...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Msaada wanaJF,nimezunguka k.koo nimechoka bila mafanikio. Nahitaji Tv inch26, Bravia. Naomba kujua bei na duka ninakoweza kuipata.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
heu tujikubushe hizi movies enzi zile Hebu tujikumbushe hizi movie na majumba ya cinema Kila nikikumbuka hizi picha huwa zinanikumbusha mambo mengi and i also get emotional andhaa...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
ni machinga na askali jiji hali ni ya vurugu. maduka yamefungwa. source nimeongea na jamaa yangu kwa simu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Arusha gari haziingii wala kutoka polisi wameziba njia kuna gari linavuja gas njian
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kuchukuwa nafasi hii wana Jf wenzangu kuupongeza uongozi mzima wa Jf kwa mabadiliko waliyoyaleta juu ya mwonekano mzima wa PAGE ya JF baada ya kuifunguwa,kwani kwa sasa imekuwa ni rahisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali yaahidi kurejesha posho walizokatwa polisi Saturday, 29 January 2011 08:11 Midraji Ibrahim SERIKALI imekiri kukatwa kwa posho za upelelezi na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tangu saa 5 asubuhi mpaka sasa maduka yote yamefungwa jijini mwanza baada ya chinga kupinga kuhama katikati ya jiji!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakati layout ya JF inabadilishwa nilionyesha waziwazi kutokubaliana na layout mpya waliyoiweka,lakini watu wakasema oooh unajua hii ni mpya ohh utaizoea tuu oooh unajua mambo meengi tuuu lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani, Joyce Ndalichako, alisema shule kumi bora zilizokuwa na watahiniwa kuanzia 40 na zaidi,ni 1. Uru Seminari (Kilimanjaro), 2. Marian Wasichana (Pwani), 3. St...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom