Ukitumiwa email uka-foward bila mpango waweza kuingia matatani... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukitumiwa email uka-foward bila mpango waweza kuingia matatani...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyati, Feb 2, 2011.

 1. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,048
  Likes Received: 384
  Trophy Points: 180
  Angalia hii hapa ambayo inauhusiano na ile site ya ZE UTAMU

  Four arrested over doctored JK photo


  Lakini pia wafanye kila wawezalo hili wamkamate huyo mwenye hiyo site mbona Asange alikamatwa
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Mkuu naomba uni PM hiyo site ya ZE UTAMU,mie siijui.
   
 3. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,048
  Likes Received: 384
  Trophy Points: 180
  Google Ze Utamu + "Jamii Forums", Utapata kila kitu. Site ilikuwa balaa tupu, watu tuliogopa kupigwa picha kwani wangewza ichakachua halafu wanaiweka humo. Ukikosana na mtu kidogo anaklimbilia kwenye neti kukuumiza! Hasa akina dada walionewa sana.
   
 4. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,048
  Likes Received: 384
  Trophy Points: 180
Loading...