Breaking news: Vita ya mawe misri.

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Wadau hasa ambao mnaangalia ALJAZEERA LIVE mnaona hii vita wanaonga mkono wapo juu ya magorofa wanarushia mawe waliopo kwenye waandamanaji uwanja wa Tahihir hakuna hatua zozote za kiusalama wala wanausalama wanaingilia. Nini maoni yako.
 
Mubarak anataka kuwacha Wamisri wakipigana vita vya wenyewe kwa wenyewe wakati yeye akikimbia. Sasa wanaopigwa mawe kutoka ghorofani wakamua kuyachoma moto hayo maghorofa warusha mawe watapona kweli?
 
Egypt is on intense fire muda huu na itaedelea iwapo huyo kiumbe hatoondoka mpaka ashuhudie damu ikimwagika ndipo aridhie kuachia ngazi, atalaanika sana huyo jemedari.
 
Wadau hasa ambao mnaangalia ALJAZEERA LIVE mnaona hii vita wanaonga mkono wapo juu ya magorofa wanarushia mawe waliopo kwenye waandamanaji uwanja wa Tahihir hakuna hatua zozote za kiusalama wala wanausalama wanaingilia. Nini maoni yako.

Wachome moto hayo magorofa..
 
Hao na askari wa mubarak wanajifanya kama raia lkn ndio wanamuaga mubarak hivyo.
 
Pro Mubarik wanalipwa $17.00 a day kwenda kupambana na anti Gov.
$17.00 ni nyingi sana hasa ukizingatia kwamba mtuanaishi kwa $1.00 kwa siku.

Hata sisi hapa kwetu tunao.

CCM wanakikosi cha askari wa kukodiwa (Mamruki ) Green Guard- GG kazi yao kubwa ni kuanzisha fujo na kupiga watu.

Ninafuatilia kwa makini sana issue ya Egypt.
Waliwakagua wakajua kwamba hawana Silaha kisha wao wakaja na silaha kuwapiga.
Funzo
1 Lazima ziwepo njia za kuwa na vitu vya kujihami wakati wa maandamano ambavyo si silaha katika mazingira ya kawaida.
Nimejifunza njia 2 za kuanzisha moto haraka bila kiberiti kwa kutumia Household items
2 Backup ya waandamaji ni muhimu sana, wakija wanakuja Full Mass Nondo (FMN)
3 Ku plan Move 3 -4 mbele Tactics za kufight Back, kuregroup na kuanza tena
4 Swiftness.- Upenyo ukupiatika mtu ni lazima zbanwe na kusambaratishwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom