Fujo na mabomu Mwenge

Somoche

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
6,150
7,005
wakuu hapa niko maeneo ya mwenge kuna gari imegonga mtu hapa wanapouza vinyago sasa fujo zimeanza kwa kasi watu wenye hasira wanapiga magari na kupambana vikali na polisi ambao wamefika hapa kama nusu saa baada ya ajali.
 
watu wanaonyesha frustration ya maisha kwa namna yoyote ile
 
Mkuu hili swala la walionacho na wasiokuwa nacho ni balaa......ni bomu ambalo linangoja kulipuka muda wowote

hapo umenena, watu wanalalamikia kila kitu na kutamani kuharibu mali ilimradi mtu akose.
 
hapo umenena, watu wanalalamikia kila kitu na kutamani kuharibu mali ilimradi mtu akose.
Mkuu, watu wana hasira sana.....angalia wanavyolazimisha speed bumps kwa kulala batabarani. Watu wananisikia kama barabara ipo kwa ajili ya watu wengine.
 
..Ukichukulia kwamba serikali yetu inafanya kazi kupitia presha moves kama hizo.
Serikali inajua kabisa kwamba most drivers hawajapitia hata nursery lakini wanazo class c. hizo vurugu za barabarani we acha tu. Ajali nyingi ni uzembe uliokithiri na siyo bahati mbaya kama inavyodhaniwa.

Sasa tunaona how nature inavyodhihirisha kwamba always there is a way..... EVACUATION is underway
 
Back
Top Bottom