Rais wa tz ni nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wa tz ni nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by moto ya mbongo, Feb 3, 2011.

 1. moto ya mbongo

  moto ya mbongo JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 336
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  WADAU INAVYOONEKA MKUU HANA SAUTI KABISA KUHUSU MALALAMIKO YA WTZ KUHUSU HII KAMPUNI HARAMU YA DOWANS
  Imekaaje hii jamani?

  Nawasilisha.
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Mh,Jakaya Mrisho Kikwete,kuhusu kukaa kimya sijui sababu zake kwa kweli
   
 3. moto ya mbongo

  moto ya mbongo JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 336
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Lakini washa na huyu mbunge wa Igunga mbona anaonekana kuongoza nchi kwa remote control? Hasa pale anaposimama na kutetea malipo dhuluma ya Dowans kwa walipa kodi wa tz?
   
 4. moto ya mbongo

  moto ya mbongo JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 336
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Lakini washa na huyu mbunge wa Igunga mbona anaonekana kuongoza nchi kwa remote control? Hasa pale anaposimama na kutetea malipo dhuluma kwa walipa kodi wa tz?
   
 5. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  kama vp tuingie barabarani,refa Monchuari machizi Segerea
   
 6. B

  Baruhongerachi Member

  #6
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anamalizia kipindi chake cha uongozi msimdisturb mhe.rahis,atafanyaje kazi zoote zile wakati baraza la mawaziri mwalijua? Anafanya kazi bwana.
   
 7. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  simpendi huyo kiumbe natamani ningekuwa na uwezo ningemrudisha kwao na kizazi chake chote kilichoko hapa
   
 8. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  lolz!
   
 9. moto ya mbongo

  moto ya mbongo JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 336
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Afadhali yako ww mi nivuta hisia alipokuja St. Thomasi school huko Igunga mwaka 2000 kukampeni akiwa amevaa jinsi kama mhuni, nilimtwanga swali kuhusu ubovu wa barabara akanizawadia tsh. 1000/= eti nimeuliza swali ambalo lilikuwa kwenye mchakato wa Ilani zake, alaniwe huyu popo.
   
 10. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ni Rostam Aziz, JK pambo tu, gheresha flani, ndo mana ye kila saa kukenuakenua tu
   
 11. moto ya mbongo

  moto ya mbongo JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 336
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Hapo umenena mkuu kwa hiyo unata Igunga ni kijiji chao au?
   
 12. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Igunga penyewe pamekaa kama kijiji japo kuna mbuge tajiri.yaani hapo ndo pa kujiuliza ameshindwa kusaidia wilaya yake et aje saidia tz.hama kitu.
   
 13. moto ya mbongo

  moto ya mbongo JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 336
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Wananchi wa Igunga wanamwamini kama Mungu, hv ubunge hujawekewa kikomo ili huyu jamaa aachane na siasa au ataendelea kuingoza tz akiwa uraiani?
   
 14. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,164
  Likes Received: 1,167
  Trophy Points: 280
  Kwao ni IRAN, Inasemekana aliletwa na mama CT Mmwinyi akimsaidia kwny biashara zake akaunganishwa na familia 1 ya huko MWISI wilayani IGUNGA yenye asili ya kiburushi kama wajombaze, mbunge wa igunga alipo fariki alipigiwa debe na selikali ya mzee ruksa akawa mbunge tangu muda huo, na sasa amekuwa raisi wa jamhuri ya TZ asie rasmi kwa miaka 6 sasa! :A S 20::sick:
   
 15. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #15
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Rais ni huyu alievaa miwani wa upande wa kulia..............................................................................................

  [​IMG]
   
 16. GATS

  GATS JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 240
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mie naona kama Mheshimiwa anaogopa/hofu hivi kwa jamaa mwenye Kombati. au nimeona vibaya jamani.
   
Loading...