Kima cha mishahara ya serikali

Muadilifu

Senior Member
Sep 26, 2007
149
22
Wadau naomba kujua ni wapi nitapata melezo ya viwango vya mishahara ya serikali kwa undani? Natanguliza shukrani
 
Huwezi kupata hata karatasi zenyewe uandikwa "confidential" . Maranyingi tunapewa sie wahasibu kuanzia shahara wa katibu kata,diwani mpaka Jaji mkuu na wabunge/mawaziri Na kwa sababu kuna ethics hatutoi. Zipo kila wilaya kwa mhasibu.
 
hakuna cha ethics hapo bwana kila ofisi ya serikali wanagawiwa ili wawaelekeze watumishi wao.nenda utumishi ulizia utapewa kama na ww ni civil servants.Kwani ni kosa kufahamu mshahara wa mtu? ni ujinga tu wa Tz kwani nchi zingine ipo wazi kabisa na viwango havitofautiani sana kuanzia mfagizi wa ofisi na mkurugenzi wanajali sana usawa lkn kwa bongo balaa tupu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom