Ajiua baada ya kufeli kidato cha nne | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajiua baada ya kufeli kidato cha nne

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rutashubanyuma, Feb 3, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,233
  Trophy Points: 280
  Na Emakulata Peter

  MKAZI wa Kibamba jijini Dar es Salaam, Diana Roman (18) ambaye alikuwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Yusuph Makamba ya jijini Dar es Salaam amejiua kwa kunywa dawa ya Kunguni baada ya kufeli mtihani wa kidato cha nne.

  Mama mlezi wa binti huyo, Bibiana Roman alisema mwanafunzi huyo akiwa katika hali mbaya alimweleza kuwa alikuwa amekunywa dawa ya Kunguni ili ajiue baada ya kufeli mtihani huo.

  "Baada ya kutoka kusali, Diana aliingia chumbani kwake na kunywa sumu ya Kunguni iliyokuwa juu ya kabati, baada ya muda tulimkuta chumbani akiwa amelala chini,"alisema Bibiana.

  Alisema Diana aliwahi kunywa sumu hiyo, lakini alimnyang'anya. "Mara ya kwanza tulimkuta akiwa anakunywa sumu tukamnyang'anya, tulichokosea tuliiweka juu ya Kabati, alienda tena kuichukua na aligombana sana na dada yake mpaka akafanikiwa kuichukua na kuimalizia,"alisema Bibiana.

  Alisema baada ya tukio hilo, waliomba maziwa kwa majirani ili waweze kumpatia huduma ya kwanza Diana. "Tulijitajidi, lakini ilishindikana, tulimkimbiza Hospitali ya Tumbi iliyopo Kibaha, lakini alifariki dunia,"alisema.
   
 2. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  So sad!!! Rip
   
 3. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Tataizo alikosa mtu wa kumtia moyo...na kuona kuwandiyo mwisho wa maisha...YUSUFU MAKAMBA..
   
 4. V

  Vetinari Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usikute serikali hata haina mshindo.
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,233
  Trophy Points: 280
  Well, where God is not living in our souls.........................these things can overpower us...................
   
 6. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  yote haya yamesababishwa na jina la shule aliyosoma. YUSUPH MAKAMBA SECONDARY SCHOOL... Angesoma shule yenye jina lingine eg jangwani or kilakala, angefaulu, manake uwezo wake darasani ulikua mzuri tu, hence asingejinyonga
   
 7. T

  Truly JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa upande mwingine naona hata hao wa hapo nyumbani kwake hawakutilia maanani lengo la kujiua kwake. Wanamnyang'anyaje sumu halafu wanaiweka juu ya kabati tu hapo. Na mara ya pili alivyoichukua kwanini huyi dada mtu hakupiga hata mayowe kumfanya hata agope au hata watu wangesaidia wakati wananyang'anyana hiyo sumu ya kunguni? they were not serious katika kumuokoa.
   
 8. Linamo

  Linamo JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 9,055
  Likes Received: 21,275
  Trophy Points: 280
  RIP ma dear.
   
Loading...