Inanikera napoona students stendi..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inanikera napoona students stendi.....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nziriye, Feb 3, 2011.

 1. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Wapendwa wanajf,hoping kuwa mkiwa ndani ya forum hii mnapata matulizo na matumaini ya matatizo meengi ambayo yanatuface ajira,street kids,machinga,migomo,kupanda kwa gharama ya vitu,dowans n.k ....hoja yangu ya leo c hyo ila napenda kuwakumbusha mambo ambayo yanatukumba wtz just in a nut-shell lakini kubwa na ambalo nataka lileta kwa ma-thinkerz ktk forum ni hl tatizo la usafiri kwa wanafunzi na hapa naongelea dar in specifically,yani utakuta muda wa saa 0900am wanafunzi wapo stendi ,je watafika shule muda gani tena unakuta wanafunzi wanasafiri toka wilaya moja to nyingine...akifika shule kachoooka,apewa adhabu then kitabu kurudi sasa usiulize wapo stendi hadi saa 2000pm ..inanikera,wapendwa wanajf naomba kuuliza hv viongozi wetu hawalioni hl au wanajidai vipofu?je kufail hakuchangiwi na hl au?tafakari jamani..
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  nziriye, are you part of the solution or part of the problem, if you think you are part of the solution kindly propose what should be done to solve the problem otherwise keep quiet to remain part of the problem. Watanzania tunalalama mno, enjoy your day.
   
 3. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  @gama,am always the part of the solution bt the means to air out my views and opinions is still very problematic,lets together form the unions that can ensure our voice is heard by leader....eti gama umesahau kuwa "umoja ni nguvu","sauti ya wengi sauti ya MUNGU" au ndugu gama kumbuka "kidole kimoja hakivunji chaaawa" hoping kuwa umenimanya vizuri ,otherwise thanx for contributions.
   
Loading...