uchakachuaji wa noti mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

uchakachuaji wa noti mpya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by makandokando, Feb 3, 2011.

 1. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakuu,
  Usije ukajisahau halafu ukaicha noti mpya ya elfu kumi ndani ya nguo, halafu ukafua na nguo zenye rangi nyeupe. Rangi inachuja wakuu.

  We kama huamini, chukua noti ya elfu kumi sasa hivi, halafu isugue kidogo kwenye karatasi jeupe, utaona rangi inabaki.


  Wanachakua hadi fedha zetu halali jamani!!!.......hapa kunahitajika kuwatunisia na kuwamisri watu hapa.
   
 2. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Gavana katoa tamko gani?
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  oh,bora wangeziacha hzohzo
   
Loading...