Embu msaidieni huyu jamaa!..

Embu msaidieni huyu jamaa!..

kiparah

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2010
Posts
1,173
Reaction score
117
Nimeukuta mjadala huu:

"Hawa wote ni wanyama jamii ya chui lakini kila mmoja ana jina lake,naomba mnisaidie kuwajua kwa lugha ya kiswahili yupi ni yupi maana mie nachanganya tu."


View attachment 21869
Huyu ni Leopard ambae mimi nimejifunza toka siku nyingi kuwa anaitwa chui...


View attachment 21870
Huyu ndio Tiger kwa kiswahili anaitwaje?


View attachment 21871
Huyu ndio Cheetah kwa kiingereza kwa kiswahili anaitwa Duma.


Nasubiri kujifunza na mimi kutoka kwenu wadau."
 
kuna mwinginé anaitwa JAGUAR naye ni jamii ya hawa Big Cat anapatikana Amerika ya Kusini
 
Kuna Puma pia , the fastest cat in the world.
 
kwa kiswahili hao woote ni chui. Hata duma sio kiswahili.
 
Back
Top Bottom