Naomba niulize, kwa mtu aliyemaliza udaktari anaanza na professional yake eg Dkt. Mwijage, uinginia anaitwa Eng. Stella, ualimu anaitwa Mwl. Nyerere, JE professional ya uasibu na ugavi tutawaitaje? Mfano, John amesoma ugavi, naomba jina lake kamili kwa kuzingatia hyo professional yake.(naomba jibu liwe in english)