Ninahitaji sponsor nianzishe college ndogo ya kompyuta Shinyanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninahitaji sponsor nianzishe college ndogo ya kompyuta Shinyanga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sexologist, Feb 3, 2011.

 1. sexologist

  sexologist JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 2,296
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 135
  I salute u all, the jf memberz, in the name of peace and love..

  Am a youth aged 27yrz. Nina wazo la kuusaidia mkoa wangu kwa kuinua kiwango cha elimu, hasa ya teknolojia ya kisasa ya kompyuta. Nimeandaa proposal paper ya mradi wa kuanzisha kachuo ka kompyuta ili kuwasaidia watu wangu wa Shy.. Ni proposal nzuri kwa upande wangu.. Mradi huu utaajiri vijana 15 moja kwa moja, na utanufaisha zaidi ya wananchi elf 5 kielimu kila mwaka, ambao wanaweza kujiajiri wenyewe.. Ni mradi endelevu ambao upo tofauti na miradi mingine ya kielimu.. LENGO NI KUISAIDIA JAMII YANGU. The overal budget is 30mils Tzsh..

  Msaada ninaoomba ni kumpata mfadhili wa kunisaidia kutimiza lengo langu. I believe in the great and positive thnkers of JF, hopful 2 get assistd..
  Regards.
   
 2. w

  whale New Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
 3. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  mHH..SASA WEWE MBUMBUMBU... WATU SI WATAOGOPA KUKUSAIDIA ?
   
Loading...