Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

NIMELAZIMIKA KUANDIKA THREAD HII BAADA YA KUCHEKI DOCUMENTARY MOJA YA BBC ABOUT AFRICA, TANZANIA INAELEZWA KUWA MOJA YA NCHI DUNIANI AMBAYO INA "KILA LITU" AMBACHO NCHI YOYOTE INATAMANI...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
By HASINA MJINGO, 23rd April 2011 @ 11:21pm DAILY NEWS INADEQUATE financial resources are to blamed for the poor conditions at the maternal ward in Temeke and Mwananyamala hospitals, it has been...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wafanyakazi wa kampuni moja ya kupakua mizigo bandarin, ambayo ni wakala wa ticks, wameachishwa kazi leo na kuambulia kiinua mgongo cha sh. Elfu 40, wamefanya kazi kwa miaka zaidi ya 2 kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Pamoja ya kuwa kagame anashutumiwa kuwa ni miongon mwa mwanzilishi wa machafuko na umwagaji wa damu '94, lakin huyu jamaa ni kiboko. Kutoka nchi iliyoharibiwa na vita mpaka kuwa nchi inayokuwa kwa...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakubwa JF Nafikiri wote mnamfahamu yule Msomali wa Rostam Aziz aliyekataliwa na Kikwete asigombee ubunge wa Nzega, Hussein Bashe. Hivi sasa kapewa u- CEO wa kampuni ya magazeti ya Propaganda za...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Askofu Ruwa’ichi alilia na haki Kwa upande wake, Ruwa’ichi ambaye ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, alisisitiza umuhimu wa Serikali na dola kutoa haki kwa umma akisema: “Siyo lazima...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MSAKO mkali wa wahusika wa mauaji ya askari Polisi yaliyotokea katikati ya wiki katika Kijiji cha Mwakashanhala, Kata ya Puge wilayani Nzega, yamewalazimu wanaume wakazi wa kijiji hicho kuyahama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Japo ni vigumu lakini yatupasa tujifunze ustaarabu mpya, labda huo unaweza ukatusaidia. Kama CCM imejaribu kufanya jambo ambalo linalenga kuleta muafaka wa kijamii, kwa nini isipongeze kwa hatua...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mauaji ya South Beach yazua utata Na Mwandishi wetu - Imechapwa 20 April 2011 MAZINGIRA yanatengenezwa kwa watuhumiwa wa mauaji ya mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam , Lillah...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Zamani kidogo wakati nakua sikupata kukumbuka kama kuna watu walikuwepo wanaitwa omba omba. Ghafla miaka ya mwishoni na tisini na kuna ongezeko kubwa sana la ombaomba mijini,na kwenye majiji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Haya kwa wale maqshabiki wa dini kwenye siasa sikilizeni huyu naye anavyomanipulate mambo. Yaani tu kwa sababu kanisa lake limepinga namna utawala wake unavyoendesha mambo tayari ameshawapachika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF,kama tunavyofahamu mitaa,barabara,majengo,shule n.k. hasa za serikali zimepewa au kubadilishwa na kupewa majina ya viongozi au watu maarufu.Hii iliibuka zaidi kuanzia miaka ya katikati ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jf? Natumaini 2po fresh. Kulingana na heading iliyopo juu, ningependa kufahamu ni jina lipi kati ya haya ya vyama vya siasa linaendana na wakati tuliopo, nikianza na (ccm) chama cha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani tusherehekee sikukuu ya kesho kwa kula na familia zetu. Vikao vya pombe tutaenda jioni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kijana Najab ambaye leo hii usiku wa saa mbili alikuwa afunge ndoa na mchumba wake wa takriban miezi minne hivi amefanyiwa ukatili wa hali ya juu kwa ndoa hiyo kuvunjwa. Kijana Najab ambaye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ASEMA HATA BINAFSISHA TENA TRL, BANDARI Patricia Kimelemeta RAIS Jakaya Kikwete ameahidi kuongeza mishahara ya wafanyakazi kupitia bajeti ya Serikali katika mwaka wa fedha, 2011/2012. Rais...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Waziri Wasira yupo live TBC1 kwenye kipindi cha tuambie akiambatana na Mwanasheria mkuu wa serikali, mada kuu mchakato wa katiba yenye utapiamlo
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Waslam huamini siku ya Ijumaa ni siku takatifu na ni siku ya kumwabudu Mungu. Na wako kwenye mchakato wa kuomba iwe siku ya mapumziko kama wakristu ambazo kwao Jpili ni siku ya mapumziko...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna tangazo la Hakielimu ambalo mwalimu anafundisha somo la computer kwenye shule ambayo jengo lake linakaribia kuangua, wanafunzi wanaona mchoro wanaulizana ile sijui nini iko kama video...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…