Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau naomba kuweka hoja, mabadiliko ya ccm wanayo yaita kujivua gamba yasitufanye tuache hoja yetu ya msingi toka kuisha kwa uchaguzi mkuu wa mwaka jana, hoja hii ni madai ya katiba mpya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
*Don’t feel offended.* **Most 'First Class!' students get senior technical and scientific jobs and some of them become Doctors and Engineers. Jeez! These guys are really smart! The 'Second...
0 Reactions
2 Replies
947 Views
Diet & Fitness Fifteen minutes of exercise a day to keep fit Doing a little bit of exercise every day is far more effective than taking part...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
11th April 2011 The Registrar of Political Parties John Tendwa The resignation of CCM’s secretariat has drawn mixed reactions with some politicians, academicians and ordinary people...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni mimi au wote, kila nikitaka kusoma manews ya ma greater thinker, kitu kinagoma, nikaweka ma id na mapasscode kitu kikakubali. Du kama ni hivyo wavamiz na mamluki wote kwishney.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwezi wa pili 2011 ilichomwa shule ya Kaisho ambapo ilikuwa ni mda mfupi shule ya sekondary ya nyaishozi kuchomewa bweni. Leo saa nne asubuhi bweni jingine katika shule ya sekondari...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanakijiji wa vijiji 4 huko bonde la Kiru, Babati, Mkoa wa Manyara wamechoma moto viwanda 2 vya sukari, mashamba na matrekta 20 mali za wawekezaji. Source: Radio One Stereo Breaking News via...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Wiki iliyopita katika safu hii nilikumegea msomaji wangu kisa cha jamaa mmoja akitaka ushauri kuhusu mkewe anayempeleka puta, huku akilazimisha talaka na kisha siku chache baadaye anaomba mume...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Dear Members, Those who can adapt to the new paradigm will see a host of benefits. While the lifespan of a typical job is much shorter, the work is frequently more fulfilling. Electronic...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
naomba kuuliza je unaweza kufuta post yoyote ambayo hujatuma wewe? kuna post nilikuwa naiangalia ya mchawi aliyeibuliwa kanisa la efatha kutoka loliondo lakini sasa siioni tena, nahisi kama wakati...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Loliondo........
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Tumeshuhudia viongozi CCM na magazeti mengi yakitangaza kuwa CCM imejivua gamba kwa kuvunja sekretarieti ya CCM iliyokuwa chini ya Makamba, Chiligati, Mkuchika na wengine ambao sijawataja. Je, ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mtanzania mwenye makazi yake nchini Marekani ameanzisha kampuni ya simu itwaya umojaphone kwa ajili ya international calls, na bei ni poa kulinganisha na makampuni mengine kama vile VOIP na SKYPE...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
BAADHI ya wajumbe wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) wilayani Maswa, Mkoa wa Simiyu, wamemtaka Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Rais Jakaya Kikwete, kumfukuza kazi Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
By CHRISTINE MUNGAI Posted Monday, April 11 2011 at 00:00 THE EAST AFRICAN Recent upheavals in North Africa have created a new pariah on the African continent: The Son of an African Dictator...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida kitendo hiki cha kupokea tsh 500 na kusababisha mzunguko wa pesa hiyo kupungua kwani hapeleki bank na amekua akiziweka basi je nini kifanyike
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee ametaka Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Wazo na askari wake waondolewe hapo na kupelekwa watu wengine kwa madai kwamba wanalinda wahalifu na vigogo wanaomiliki...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Muswada wa katiba mpya wazua mambo zanzibar baada ya washiriki kudai takala.Je wazanzibar wanamdai nani hiyo takala . Pili wamekwenda mbali wanadai katiba ya Tanganyika kwanza.Zaidi wamesema...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Fadhili Abdallah MKUU wa Mkoa wa Kigoma, Joseph Simbakalia ameonja adha ya kutokuwepo kwa barabara kuelekea katika vijiji vilivyopo mwambao wa ziwa Tanganyika baada ya kunusurika kuzama na boti...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zilizotudondokea hivyi punde zinasema manji na kundi la viongozi kadha wa tff (kayuni) wamemwaga pesa kwa timu ya majimaji ili isiingie uwanjani leo! Habari hizo zinazidi kusema yanga hata...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom