Wadanganyika, niko mjini katikati tangu saa 12 jioni hadi sasa saa moja dakika kumi. Barabara zote ziko tight foleni haisogei. Walio kwenye foleni tupeane updates
Nilitokea mjini katikati maeneo...
ZAIDI ya wagonjwa na ndugu 3,000 watalazimika kusherehekea Mateso, Kufa na Kufufuka kwa Yesu Kristo (PASAKA) na Mchungaji Ambilikile Masapila, wakisubiri
kupata kikombe atakapoanza huduma Jumanne...
Wana JF! hii bodi ya mikopo hivi kweli bado tunaihitaji? Faida zake ni zipi? Halafu hii tume iliyoundwa maoni inayakusanyia wapi? Mbona wasomi tunapigika? Wana jamvi naomba tuwashauri hawa bodi au...
Kama kuna upuuzi nisiyo taka ni polisi kutangaza unafiki mbele ya watanzania
kuna swala linaniumiza sana kuna huyu bana anajiita nzowa ametangaza kukamata muiran lakaini ukweli halisi anajua...
Najaribu kufikiri itakuwaje watu wa dini ingine wakianza kuhoji uhalali wa serikali kumpa msaada mchungaji wa mstaafu wa KKKT katika kuendesha huduma yake.
Mara kwa mara waislamu wamelalamika...
Ni baada ya mtoto kugongwa na gari wananchi wanabeba mawe, magogo na miti wakitaka wawekewe matuta. Wananchi ni wengi na wanasema wako tayari kufa. Source: redio one/itv breaking news.
Hizi motorcade za marais wa Africa inaonyesha muda si mrefu ambulance itakuwa ni Compulsory. Imesemwa semwa weeeee ya Mkuu wetu, naona sasa na kwingine ni habari kama hizo!
Mugabe spotted at...
Ndugu wapendwa kumekuwa na imani tofauti juu ya huyu babu yetu wa loliondo na baya zaidi watu wameanza kutumia majuukwaa ya kanisa kulalamikia safari hizi
niaminivyo mimi huyu babu ajaanzisha...
Magazeti mengi ya leo yameripoti kuwa wale wafanyakazi wa hoteli ya South Beach wanaotuhumiwa kumchoma moto na hatimaye kumsababishia kifo mkazi wa Kigamboni Bw.Lilah Hussein wako nje kwa dhamana...
Juzi tarehe 18th April 2011 majira ya saa moja na robo asubuhi babu Mchungaji Ambilikile Mwasapila amewatahadhari wale wote wanaombeza na kumchukia wakiwemo Mchungaji Kakobe na Madaktari nchini na...
Kuna mwendelezo wa makala za matatizo yanayowakuta wananchi wa Tanzania wanaoishi jirani na migodi hasa ya dhahabu....na pia,wanaoitwa wawekezaji wamekua wakilalamika kila mara kwamba wanapata...
Je ni kweli mafisadi ndo chanzo cha gharama kubwa ya maisha? Na je tunajifunza nini kutoka kwa wenzetu hawa?
Na je ni kweli kinachoongelewa ktk majukwaa ndiyo sababu ama kuna kitu pembeni cha...
By PUDENCIANA TEMBA, 20th April 2011 @ 09:45
DAILY NEWS
HEALTH experts have expressed concern over the government silence on the potency of the 'miracle' herbal concoction being administered by...
Tofauti na ilivyokuwa mwanzoni, katika siku za hivi karibuni nimeanza kuona wamasai (au pengine niseme vijana wa kiume waliovalia lubega!) wakizunguka huku na kule kutafuta wateja wa 'biashara...
Jamani nataka kuanzisha redio na television maalum kwa wapenda mabadiliko,na wapinzani,naombeni anayejua prosses naanzia wapi na kuishia wapi,nataka vibali na mihela nifanye nini mie mbona...
Mali za CCM zazua balaa Moshi
na Grace Macha
MGOGORO wa kugombea mali za Halmashauri ya Moshi zinazodaiwa kumilikiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana ulichukua sura...
Nataka mjue sisi arusha na moshi tuna uwezo wa kujitenga na nyie kwa sbabu mnaendekeza sana ccm,tunataka mabadiliko sio kuvuana magamba,bora tujitenge tuwe na kanchi ketu kazuri katamu