Majibu ya huyo jamaa wa kaimu commission wa community development bikira mushi mmeonaje wana jf ?

Blessing

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
271
11
Huyo jaama avai hata kidogo ndio watu hawa wanatakiwa kufukuzwa kazi.... anajikanyanga kanyaga kwenye majibu huko TBC aibu ?? COMMENTS please
 
Sasa hapo umetuomba comments juu ya hoja gani?, tupe mfano wa swali aliloulizwa na jibu alilotoa ili tutoe comments otherwise angalia hasira za foleni ya jana zisikuishie, hii ndo comment yangu.pasaka njema.
 
Back
Top Bottom